Uchaguzi 2020 Hali si hali: Katambi 'akataliwa' na 'kugomewa' Shinyanga Mjini, Masele aombwa kumsaidia. Ahaidiwa Ubalozi

Badala ya kutangaza sera za chama chake, yeye anaendekeza matusi..........

Na hiyo ndiyo itakayowa-cost vibaya sana, hadi hilo jimbo walipe mkono wa Bye Bye
Hili Jimbo imekuwa ikishinda kwa mazabe mazabe tu. Toka 2010 eti Shelembi kazidiwa kura moja usenge mtupu.

Baada ya kura wakaona wammalizie tu mzee wa watu ili watawale vizuri.

2015 napo wakateka form za matokeo ili Wapeleke za kwao wanazozijua wao.

This time huyu dada kapewa mtelezo kwa kuletewa muuza meno acha ajipigie ila kutangazwa ndiyo mtihani.
 
Magufuli akijidanganya kubadili katiba kupinduliwa itakuwa asubuhi tu hatamaliza hata miaka mitano ya udikteta wake.
 
Yaani wapinzani wachukue Membe ? Acha bangi wewe
 
CCM hawajali hilo kwa sababu sasa hivi hawapiganii maslahi ya wananchi tena bali ni maslahi ya chama.

Imagine awamu ya tano ilivyotunga sheria nyingi kandamizi na zinazoua ustawi wa nchi.
 
Hivi una uhakika na unachokisema?

Angalia hapa

 
Mzee Tuoa tupa shaloom
Hivi kwa hali ilivyo, ni wapi hapa Tanzania Ccm ilisha kubaliwa na Watanzania kutoka rohoni. Hebu fikiria kama hata Mgombea wenu wa Urais juzi bila kuwa na wanamuziki kule Chato hakunge kuwa na mahudhurio.
Jana Bukoba mjini hali ni hiyo hiyo watu wamesombwa toka mikoa ya jirani na wilaya zote za Kagera. Ili tuu Yesu wa Ccm adanganywe kwamba Ccm ina watu. Kuna taarifa za gari kupinduka na watu kuumia kama sio kufa wakiwa wana pelekwa Bukoba mjini. Hili limefanywa siri kulinda chama.
Sasa Katambi bakuli anaweza shindana na mashine ya Chadema kweli?
Vyombo vya usalama ndivyo vinachelewesha Ccm kufungiwa virago.
 
Ubalozi umeshushwa hadhi.

Umeonekana ni kazi ya kuwapoza watu walioondoleea kwenye mchakato wa kutafuta wabunge.
 
Dhambi ya usaliti inaendelea kumtafuna.
 

Hali ni mbaya wapi.mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye mapool table na kujipa moyo mnashinda..huyo mgombea wenu kafanya mkutano 1 tangu kampeni zianze.pesa hata ya kuandaa mkutano hana.unajitekenya mwenyewe kisha unacheka mwenyewe huo ni uzwazwa
 

This is good news....!!!
Katambi hastahili kupewa hata Ukatibu Kata. Huyu jamaa ni mwongo, mzandiki, mnafiki ,nyoka na ndumila kuwili. Acha apambane na hali yake.......Pambaf zake.
 
Pesa atoe wapi nyie mliokusanya kodi mbona mnazitapanya kwenye kampeni badala ya maendeleo
 
This is good news....!!!
Katambi hastahili kupewa hata Ukatibu Kata. Huyu jamaa ni mwongo, mzandiki, mnafiki na nyoka na ndumila kuwili. Acha apambane na hali yake.......Pambaf zake.
Na wanaccm wamnamjua vizuri ngoja asubiri matokeo yatakayomshangaza baada ya yale ya wajumbe.
 

Tabu ya waswahili wa shy town hawaijui mipaka ya jimbo.kelele tu vijiweni.na kuombaomba vijisent kila wanapomuona mgombea.Katambi hata mia hatoi wamenuna hao..hata masele hili alikua ameisha liona na ndio sbb kata za waswahili wa mjini alizipotezea.Kuhusu salome.katelekezwa.hana hata team ya kampen..mkutano 1 mwezi unaisha.atashinda kwa kukaa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…