Uchaguzi 2020 Hali si hali: Katambi 'akataliwa' na 'kugomewa' Shinyanga Mjini, Masele aombwa kumsaidia. Ahaidiwa Ubalozi

ILe Shinyanga ya Hayati Bob Nyanga Makani bado inaishi! Wakazi wa Shinyanga Mungu awapokeaa kwenye ufalme wake huko peponi


Pigeni Spana huyo pimbi hadi achanganyikiwe!
 
afisa kipenyo na meno yake machafu amebaki anatoa macho haamini kinachomkuta 🤣
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
Uko siriasi sana mkuu.aisee.MUHIMU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia.anachangisha tena.za kufanyia.mkutano wa pili,vipi ni.makosa ama?Ila watu.wanachanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kwa herufi ndogo membe ata ungekuwa nae wewe na familia yako ni sawa tu
 
Wakigoma wajue wanapoteza fursa ya Masele kuula ubalozi nchi nononono
 
Nasikia.anachangisha tena.za kufanyia.mkutano wa pili,vipi ni.makosa ama?Ila watu.wanachanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Unawajua watu wa shy town wewe.?hamsini hamsini za chenji ya kwenye kahawa ndio wanampa.mpaka afikishe angalau elfu 50 ya kukodi bajaji uchaguzi utakua umekaribia.mbowe alichukua pessa yote ya mishahara ya kibunge..kawachia madeni.Salome hakopesheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…