Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Nchi bado masikini hii tutalalamika sana lakini hakutakuwa na jipya, kuwapatia wote ni ngumu, wakipata wanafunzi 80% nje ya 100% wanatosha wengine watapata mwakani najua inauma sana mwanafunzi kukosa mkopo na hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini wametokea familia masikini amini hilo, ni wanafunzi wachache mno ambao wazazi wao wanamudu gharama za elimu ya juu kwa miaka mitatu,minne au mitano.
Anyway acha tuone uenda serikali ikafanya jambo.
 
chief ukiona sipa jua umepata mkopo,mtu ambae hajawa allocated hana sipa kabisa. later on sio muda ataona exact amount
Kwa maana uki login badala ya kutokea menu ya kawaida ambayo tunaiona sasahivi kama umekuwa allocated itaonesha neno SIPA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…