Cumudia
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 507
- 850
Nchi bado masikini hii tutalalamika sana lakini hakutakuwa na jipya, kuwapatia wote ni ngumu, wakipata wanafunzi 80% nje ya 100% wanatosha wengine watapata mwakani najua inauma sana mwanafunzi kukosa mkopo na hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini wametokea familia masikini amini hilo, ni wanafunzi wachache mno ambao wazazi wao wanamudu gharama za elimu ya juu kwa miaka mitatu,minne au mitano.mkopo ni kama public subsidy kwa wanafunzi wenye uhitaji hasa hawa masikini wenye vigezo. but kulingana na katiba yetu mkopo huu sio haki ya mnufaika ila ni upendeleo tu wa serikali. ila duniani kote mkopo wa elimu ya juu ni haki ya wanafunzi chief ndivyo ninavyo elewa
Anyway acha tuone uenda serikali ikafanya jambo.