Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
-
- #201
navyo fahamu kama haujawa allocated account inabaki vilevile. ukipangiwa mkopo hio account ukilog in inakuja 'SIPA" baadae ina display loan amountUkiona SIPA ..
unamaanisha nini kmhapo kwenye SIPA, Ile statment yao?
sema we jamaa ishu nyingi za jikoni unazojua sanaMichuano ya CAF tz ni Wao , kushinda Kwa tulia ni Wao, kufuzu Kwa tz afcon ni Wao ,
Never ever give upDuuh,kaz kweli kweli watoto wa masikini
Niko nadokoa nyamasema we jamaa ishu nyingi za jikoni unazojua sana
pamoja chiefNiko nadokoa nyama
Hawapo swMie jana nikaenda mpk ofisi zao hakuna la maana walonojb nikaelewa. Hapa najiandaa na tuition fees. Chupi itanibana [emoji28]
Upo chuo gnMie jana nikaenda mpk ofisi zao hakuna la maana walonojb nikaelewa. Hapa najiandaa na tuition fees. Chupi itanibana [emoji28]
Hayo ndo madhara ya siasa katika elimu unawafaulisha wengiii wanakosa mkopoSSH kamwaga division 1 kama njugu ,akasahau , mkopo kugawa kama njugu[emoji3064]
Hahah Mkuu alikufanyaje mpaka ukashindwa kuendelea?Ila kwenye sekta ya elimu , kwa wale wa form 6 2017 kurud nyuma nadhani wanaikumbukua shughul ya mh Ndalichako ilikua ni tabu mixer majonz kiaina ...binafc ndio kilichonifanya nichelewe kwenda chuo mpk Leo hii [emoji3] ctaman kukumbuka kwakweli
Hata akiwapa mkopo kivumbi kwenye ajira.Hayo ndo madhara ya siasa katika elimu unawafaulisha wengiii wanakosa mkopo
ukikomaa unatoboa psrsHata akiwapa mkopo kivumbi kwenye ajira.
Yan Mbele nchale nyuma nchale
endelea kupaza sauti utapataHivi jmn "Your application is being processed. Wait for final results"
Ntapewa kweli mie nikope kodi nitalipa nikipewa mkopo
Wapi nitapaza🥲🥲endelea kupaza sauti utapata
wapo humu humu jfWapi nitapaza🥲🥲
mfano mdgo angu kapata mchana wa leoWapi nitapaza🥲🥲
Hii ni ya muendelezo au ya mwaka wa kwanza?Hatimae [emoji4]View attachment 2795629
First yearHii ni ya muendelezo au ya mwaka wa kwanza?
Mkuu wew umepata mda gani?First year