Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Mie jana nikaenda mpk ofisi zao hakuna la maana walonojb nikaelewa. Hapa najiandaa na tuition fees. Chupi itanibana 😅
 
Ila kwenye sekta ya elimu , kwa wale wa form 6 2017 kurud nyuma nadhani wanaikumbukua shughul ya mh Ndalichako ilikua ni tabu mixer majonz kiaina ...binafc ndio kilichonifanya nichelewe kwenda chuo mpk Leo hii [emoji3] ctaman kukumbuka kwakweli
Hahah Mkuu alikufanyaje mpaka ukashindwa kuendelea?
 
Back
Top Bottom