Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Na saivi wanatoa Hadi kwa madogo wa Diploma,, najiuliza kama Degree ndo wanashindwa hivi je Diploma wataweza kweli au ndo Siasa za Bongo kutafuta credit kwa ajili ya kupata Kura
 
Na saivi wanatoa Hadi kwa madogo wa Diploma,, najiuliza kama Degree ndo wanashindwa hivi je Diploma wataweza kweli au ndo Siasa za Bongo kutafuta credit kwa ajili ya kupata Kura
chief hawa madogo wamezagaa mtaani,hali si shwari kabisa
 
Wte wenye vigezo mtapata wajameni, tuwe na subra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…