Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

kuna wale accounts zao zimechange into sipa,ila amount hazioneshi hopely ni tatizo la kimtandao mpunga upo karibu
 
Mbungi bado ngumu kwa madogo.

vyuo navyo vimechachamaa kufunga registration
 
Nashukuru Mungu mimi wamenipa allocations sema wamenipa Meals and accommodation 2,590,000 na Books and stationery 110,000.

Ada hawajanipa hata mia aise. Hapo ndipo pagumu.
 
Ni kutafuta tu ada
Mkuu endelea kuvuta subira hadi kufikia kesho Mungu ataonesha ukuu wake.

Nashukuru Mungu mimi wamenipa allocations sema wamenipa Meals and accommodation 2,590,000 na Books and stationery 110,000.

Ada hawajanipa hata mia aise.
 
Mtu unakua mvumilivu mpaka roho inauma[emoji17]
 
Nashukuru Mungu mimi wamenipa allocations sema wamenipa Meals and accommodation 2,590,000 na Books and stationery 110,000.

Ada hawajanipa hata mia aise. Hapo ndipo pagumu.
wewe ndie ulipata SIPA ambayo haina kitu before?? now ndio wamekuwelkea?
 
Haya wale wa final results
IMG-20231102-WA0049.jpg
 
Back
Top Bottom