Tetesi: Hali si shwari CHADEMA

Unaleta dhahania hapa jukwaani kwa vile tamaa yako ni kuona hao CDM wanavurugana. Mimi sio mshabiki wa vyama, lakini nakuambia utasubiri sana kuona CDM wakiasambaratika. Utamaliza muda wako wa kuishi wewe na familia yako bila hilo kutokea maana umeamua kujiharakishia safari.
 
hiyo inamaanisha wanakubaliana baya ingekuwa kama kila mtu anasema vyake lakini ukiangalia kila kiongozi anaesema lazima utasikia sep.1 mikutano kama kawaida
 
Nimegusa penyewe. Nakuheshimu pia hivyo nawe uache kuandika usiyokua na uhakika nayo kuhusu Magufuli. Mnadhani ana moyo wa chuma ehh? Kejeli, dharau, kama vile aliingia madarakani kwa mapinduzi. Test joto la kejeli.
Poor woman
 
Nawashangaa sana mnaobishana na mtu kama BAK, huyu ni toilet paper ni mwendo wakuwapangusa mafisadi. Hovyo kabisa
 
Magufuli fisadi ushahidi upo, kahonga nyumba alizokwapua ushahidi upo. Dikteta uchwara ushahidi upo. Muongo ushahidi upo mpaka kwenye ripoti ya CAG. Hebu weka kile nilichoandika mimi humu kuhusu Magufuli ambacho si cha kweli.
Lowasa fisadi ushahidi upo
 
Kwani cdm ina msemaji moja

Mbona mie sioni shida hapo,Kila uliyemtaja ametoa maoni yake kulingana na anavyoiona situatio sasa usemaji wa chama umekuwaje tena hata kwenye mawazo ya binafsi ya mtu?
 
Tatixo kubwa la ukawa ndío hilo yaani ukali atasaidia nini unatakiwa ujenge hoja tuone na kuelewa kwa nini cdm haina msemaji rasmi sio ulete ukali wa kijinga hapa
 
Lowassa anatoa tamko kwa cheo ipi? Sumaye? Tundu Lissu anacheo gani kinachomuwezesha kutoa tamko la chama? Hauoni hapa kila mtu anauza sura ili naye aonekane? Ndiyo maana mgombea Mwenza alirudi Cuf akadai cdm kila mtu kambale
 
Wewe inakuhusu nini kufuatilia mambo ya CHADEMA!? Kama ina msemaji mmoja au elfu moja it is none of your business! Mind your own business. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe hayakuhusu!
Ni wewe au kuna mtu kaiba password yako??
 
Nawashangaa sana mnaobishana na mtu kama BAK, huyu ni toilet paper ni mwendo wakuwapangusa mafisadi. Hovyo kabisa


Jishangae wewe kushindwa kujuwa na kuzipinga kwa hoja kwa hoja

1. Uwepo wa wasemaji wengi ama mmoja ndani ya cdm kunamadhara gani kwa maendeleo au ustawi wa Taifa la Tanzania?

2. Kuhusu mh Rais Pombe

a) Anafaham vema sheria, taratibu na kanuni za uwepo wa vyama vya siasa?

b) Katiba inasemaje kuhusu
- Uhuru wa vyama vya siasa katika kujitangaza na kutafuta wanachama wapya

-Madaraka ya Rais na nguvu ya Msajiri kwa vyama vya siasa

-Maneno, Sijalibiwi, nitawashughulikia, hakuna kufanya siasa mpaka 2020 na kila mmoja kwasasa afanye alipochaguliwa.....
 

Mbona umemsahau Ustadh Abdalah Majura Bulembo nae ni msemaji wa chama.
 
CHADEMA ngangari. Mtaandika sana nyuzi zenu za kusadikika na ushahidi wa kusadikika. Eti, "taarifa kutoka ndani ya chama hicho" Hahahahaha lol! Taarifa hiyo imetolewa na nani!? Au hana jina? Imetolewa lini?
wacha ubishi mkuu. mbona iko wazi kwa mdadisi yoyote. lowassa anasema cdm iwache uanaharakati na kuendesha upinzani wa kawaida. lissu anaendesha uanaharakati
anatoa cheche na moto mdomoni utafikiri shetani. utafikiri nchi hii inaongozwa na makaburu wakati rais anapambana na ufisadi na uzembe uliyokithiri.
 
asante kwa utunzi
 
Mimi nikitafakari huwa nacheka sana eti LOWASA naye anawaza siku moja anaweza kuiongoza tanzania.

Kwani hajawahi kuingoza Tanzania. Mtu alishakuwa w/Mkuu wewe mwenzangu unasota na mabenchi hapo Lumumba hata ukatibu taarafa sijui kama utapata.
 
Damu ya mke wa dr slaa iliyomwagika Arusha itwatafuna mpaka dakika ya mwisho
 
Kuna watu walisemaga CHADEMA lazima ife kabla ya 2015, sasa wao ndiyo wamefariki kisiasa yaani wako hoi bin taabani na CHADEMA wameiwacha palepale inadunda, kwa sasa inapiga jalamba kuelekea Mosi Sept!! Utaipenda tu!!

Tema mate chini kijana.......!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…