Tetesi: Hali si shwari CHADEMA


A very good read... Ngoja aamke naona bado amalelala...
 
shauri zenu. msifikirie 2020 itakuwa rahisi kama vile.
 
Ndoto njema
 
Magufuli fisadi ushahidi upo, kahonga nyumba alizokwapua ushahidi upo. Dikteta uchwara ushahidi upo. Muongo ushahidi upo mpaka kwenye ripoti ya CAG. Hebu weka kile nilichoandika mimi humu kuhusu Magufuli ambacho si cha kweli.
BAK nikipitia posts zako za miezi tisa tu nyuma napata mashaka sana kichwa chako,lakini ndio demokrasia
Cc Freema Agyeman
 
Wewe inakuhusu nini kufuatilia mambo ya CHADEMA!? Kama ina msemaji mmoja au elfu moja it is none of your business! Mind your own business. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe hayakuhusu!
Mpwa unapata wapi nguvu ya kuongea na hawa vibaraka wa kijani?
 
Reactions: BAK
Weka ushahidi wa hizo posts za miezi tisa nyuma usiandike kitu ambacho huwezi kukithibitisha. Kichwa changu kwa taarifa yako kiko bomba sana.

BAK nikipitia posts zako za miezi tisa tu nyuma napata mashaka sana kichwa chako,lakini ndio demokrasia
Cc Freema Agyeman
 
Hiyo ni wazi sasa ni mradi wa CCM kuishambulia CHADEMA kwa kasi
Post hii hii ilibandkwa na Lizabon jana

Ukigusa mpasuko wa CCM ambao wenyewe CCM wanaujua post inapotea
Hata kama ni fursa ya kipatato kunadi akili kipuuzi kama hivi ni janga.
Ushwari au si ushwari unamweleza nani ili iweje?
 
Mpwa acha tu tupambane na hawa na uzushi wao. Kama utakumbuka tumeanza kupambana nao tangu enzi za uzushi wao kwamba CHADEMA ni chama cha Wachagga na Wakristo na tutawashinda tu kwenye kila hoja yao ya kutaka kuichafua CHADEMA kwa namna yoyote ile.
Mpwa unapata wapi nguvu ya kuongea na hawa vibaraka wa kijani?
 
Mkuu BAK wewe ni kiboko ya washakunaku, yaani umempa za uso huyu mleta mada hadi amekimbia. Nadhani anajuta kukufahamu mkuu. Safi sana. Magamba wamebaki na uzushi tu awamu hii ya mzee .
 
Khaa! Weka facts and figures za ufisadi, udikteta na uongo wa Magufuli, then nitaleta ushahidi wa uongo wako dhidi yake ambao ni kama kumsukuma mlevi as upo humu humu jamvini na nimeshauvuta.
Kwenda kinyume na katiba inaitwaje?
 
Mkuu BAK wewe ni kiboko ya washakunaku, yaani umempa za uso huyu mburula (mleta mada) hadi amekimbia. Nadhani anajuta kukufahamu mkuu. Safi sana. Magamba wamebaki na uzushi tu awamu hii ya mzee uchwara.
Kama wavuta bangi vile, wakipongezana kijiweni baada ya kuvuta puff!
 
Babu Duni: CHADEMA ni kama kambale. Kila mtu ni msemaji
 
Hao hawatafika mbali bila mitafaruku
Kila mmoja ni msaka tonge
 
Wana demokrasia ya kusema na kudamka mambo mazito. What is wrong with that? Ukitaka waombe kibali chaetaou?
 
ngoja hawa waje na UKUTA wao tutawashikisha nao tu......... maana wanatuona watanzania ni manyumbu kutuyumbisha kama watakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…