Tetesi: Hali si shwari CHADEMA

Frey na wenzako. Mbona huendi kupeleleza habari za vyama vingine kama vile TLP, UDP, CM-Tanzania, UPDP, ACT-Wazalendo, SAU, CCJ na vingine? Tunaomba utujuze na habari za huko. Au habari zao hazinunuliki kwa boss?
 


Ha ha haaaaa ulikuwa hujamtaja Lowasa siku tatu sasa roho yako imetulia. Ila umenifurahisha sana mbinu uliyotumia zisipite siku tatu ha haaaaa
 
Chadema ipo moja haijagawanyika.
Yote ni chadema mafisadi tundu lisu,msigwa walipata mgao wao kutoka kwa mbowe baada ya kuuza chama kwa fisadi lowasa bilioni 10.
Wote sasa ni watetezi wa mafisadi.
Nenda mahakamani.... Wangemuacha Lowasa... Wakina Mramba na Yona tujisenti wamewafunga jela.... Basi wanamuogopa Edo
 
Kama hali ilivyo mbaya CCM, kwa habari nilizozipata hapa Lumumba jioni ya leo ni kwamba,mawaziri waandamizi wa serikali wanapinga jinsi mheshimiwa mwenyekiti wa chama anavyoendesha chama chake kama Mali yake binafsi,baada tu ya kukabidhiwa chama mwezi wa saba mwenyekiti amekuwa haambiliki anajiona yeye ndo chama na bila yeye hakuna ccm,

Wanaccm watiifu baadhi yao wameamua kukaa kimya,wanachama hao wakiongozwa na waziri mmoja wa wizara ya ushirikiano wa visiwa na bars ameamua kukaa kimya kabisa kama amesafiri.

Nae aliyewahi kuwa waziri wa mataifa matano ya Afrika ameamua kuchoma kadi ya kijani na kusema kitaeleweka 2020

Aliyepata kuwa waziri wa kimiminika naye amesema vita waliyoianzisha dhidi ya mwenye kigoda itatimia 2020.

MAMBO SI MAMBO NDANI YA CCM,MUULIZENI LIZABON ATASEMA YOTE,MWENYEWE AMECHANGANYIKIWA
 
CHADEMA ngangari. Mtaandika sana nyuzi zenu za kusadikika na ushahidi wa kusadikika. Eti, "taarifa kutoka ndani ya chama hicho" Hahahahaha lol! Taarifa hiyo imetolewa na nani!? Au hana jina? Imetolewa lini?
Ameshasema hakuna msemaje wa chama.myb Katibu wa tawi amempa dokezo ilo akajua n kauli ya chama
 
Waruhisu mukutano na vyombo vya habari vipewe ruhusa ya kuripoti habari za upinzani hapo ndipo watamuona msemaji wa CHADEMA.
Hamtaki tuseme halafu mnataka kujua msemaji wetu!
 
Kama kuna dalili za ukweli hapo manake CDM kwa kweli ilishapoteza msemaji. Nakumbuka alikuwepo Tumbo akaondolewa akaja Mnyika kwenye Kurugenzi. Baada ya Mnyika mambo hayaeleweki. Kila mtu ni msemaji.
 
hali si shwari ndani ya CCM. CHADEMA moto wa UKUTA hadi vijijini
 
Huyu mleta maada atakuwa ni yule MANYAUNYAU wa DAR.Yuko ktk Kazi yake ya uganga wa asilia.Manyaunyau hapa umetabili au????.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…