intermediate JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 232 Reaction score 166 Dec 5, 2014 #21 Daah aisee mi mwanafunz wa hapo ...huwaga hatukiitag chuo tunaitaga rekebisho ile system ya primary kurudia mchana..Roho inaniuma sana napofundishwaga na T.A yan najutaga kwanini nilichaguaga utumbo huu.
Daah aisee mi mwanafunz wa hapo ...huwaga hatukiitag chuo tunaitaga rekebisho ile system ya primary kurudia mchana..Roho inaniuma sana napofundishwaga na T.A yan najutaga kwanini nilichaguaga utumbo huu.
jose mjasiriamali JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,760 Reaction score 1,580 Dec 5, 2014 #22 Ni kweli hiki chuo ni tatizo, ila tcu/nacte mko wapi? Naskia kuna wengine wa degree wanafundishwa na mtu mwenye diploma hahaaaaaaa
Ni kweli hiki chuo ni tatizo, ila tcu/nacte mko wapi? Naskia kuna wengine wa degree wanafundishwa na mtu mwenye diploma hahaaaaaaa
Nengonengo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2014 Posts 305 Reaction score 61 Dec 5, 2014 #23 Baada tu ya kukiona chuo nilikihama mapema sana october 2014, ila komaeni wadau!