Hali si shwari chuo kikuu St John

Hali si shwari chuo kikuu St John

Daah aisee mi mwanafunz wa hapo ...huwaga hatukiitag chuo tunaitaga rekebisho ile system ya primary kurudia mchana..Roho inaniuma sana napofundishwaga na T.A yan najutaga kwanini nilichaguaga utumbo huu.
 
Ni kweli hiki chuo ni tatizo, ila tcu/nacte mko wapi? Naskia kuna wengine wa degree wanafundishwa na mtu mwenye diploma hahaaaaaaa
 
Baada tu ya kukiona chuo nilikihama mapema sana october 2014, ila komaeni wadau!
 
Back
Top Bottom