Hali si shwari Msimbazi!

Chanjo zimeanza kufanya kwa kwa wana utopolo...uzi wa hovyo kabisa
 
Mkuu ww ni utopolo. Rudi kasome na ujue kufanya dadisi za maana. Mpunga unawekwa kwenye account ipi..?
 
Mkuu misri bado hawaja fungua dirisha la usajili. Inabidi wafiche ili kuendana na ratiba za ligi yao kule misri
Kama ni hivyo kwanini CAF itangaze mwisho wa kuwasilisha majina ya wachezaji iwe tarehe 15 August?
 
Kama ni hivyo kwanini CAF itangaze mwisho wa kuwasilisha majina ya wachezaji iwe tarehe 15 August?
Wao siwameambiwa watumie muongozo wa mwaka uliopita vipi.??
 
Kama ni hivyo kwanini CAF itangaze mwisho wa kuwasilisha majina ya wachezaji iwe tarehe 15 August?
Na kama watamtumia hatuwezi kuwapangia watu wa taasisi yao. Mipango na maamuzi ni yao ww ni mpokeaji wa kile unachokiona.
 
Mihela Sisi hatuna haja nayo , tulishamwambia MO abaki nayo tunachohitaji ni MAKOMBE TU ...! Sababu tunajua hicho ndicho mmekikosa Kwa Miaka 4 sasa na hakuna dalili Ya kuyapata MAKOMBE labda...labda....LABDA la MAPINDUZI...!
Gonga Like Kwa Hii Comment Fupi Halafu Chachu Kama Ukwaju Yaani Mate 😀😁😂🤣😃😄😅😄😃🤣😂😁😀🤣😃😄
Miaka Minne Vikombe!! Raha Sana
 
Tanzania sasa inakabiliwa na kizazi kinachopenda umbea, hira, unafiki na umasikini wa tumbo na mawazo. Kuleta uharo wako kama unachefeu watu bora ungeupeleka kwa bibi yako aliekurithisha uchawi
 
Kwa taarifa za ndani kabisa, msemaji wa familia ya METL atatoka na kutoa utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kujitoa kwenye ufadhili wa timu hiyo ya simba

Kwani wamechoshwa na maneno maneno ya mashabiki wa simba
 
Ila hii mipasuko ndiyo itaisaidia Simba, maana wanafiki wote watajulikana.

Simba itaachana na kuajili Wana simba bali wataalamu wa kazi husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…