kwahiyo hawaruhusiwi kufanya usajili?Wao siwameambiwa watumie muongozo wa mwaka uliopita vipi.??
Sasa utaratibu wao una.mkanganyiko. nadhani ligi.ikiisha ndipo watamtambulisha rasmikwahiyo hawaruhusiwi kufanya usajili?
Huu nao ni USHAMBENGA km umbea mwingine. Mambo ya wadada hayo. WANAUME SISI NI KUPGA KAZ TUUUKuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
MO anafurahi sana kupata wafuasi mazumbukukuu[emoji3][emoji3][emoji3] Wao wanakwambia cha muhimu timu ishindeee..Kibaya zaidi mashabiki hawana hili wala lile. [emoji23] [emoji23]
Wewe utakuwa Haji Manara kwa nembo ya ID fake!Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Mashabiki wenyewe wanakwambia potelea mbali hata kama Mo akiichukua Simba wanachotaka wao ni ushindi tuKibaya zaidi mashabiki hawana hili wala lile. [emoji23] [emoji23]
Na Four league title za back to back, hata mi huo wizi nauunga mkono.Huo unaoitwa ujanjaujanja na wizi wa mo dewji kama ndiyo umesababisha tuwe wa 12 kwa ubora afrika basi naomba wizi huo uendeleee milele
Njaa ndio husababisha mambo yote haya amini nawaambieni.....Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Acheni umbeaKuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa
hiyo story upewa kijiwe ipi?😃Kuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa
Hata mimi nimepita msimbazi jioni nikaona booonge la mpasuko. Kubwa jinga hawana nembo