Hali si shwari Msimbazi!

Hali si shwari Msimbazi!

Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.

Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Huu nao ni USHAMBENGA km umbea mwingine. Mambo ya wadada hayo. WANAUME SISI NI KUPGA KAZ TUUU
 
Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.

Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Wewe utakuwa Haji Manara kwa nembo ya ID fake!
 
uto tulia ww mambo ya ndani ya simba yanakuhusu nini
 
Ligi ikianza tutajua wapi wanamigogoro na wapi hawana
 
Kuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa
 
Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.

Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Njaa ndio husababisha mambo yote haya amini nawaambieni.....
 
Kuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa
Acheni umbea

IMG-20210816-WA0108.jpg
 
Kuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa
hiyo story upewa kijiwe ipi?😃
 
Hata mimi nimepita msimbazi jioni nikaona booonge la mpasuko. Kubwa jinga hawana nembo
1629143924914.png
mbona hueleweki unaposema hawana Nembo
hapo kinachotakiwa account ya Club isome zile 20B na hayo malipo ya kina Chama
 
Back
Top Bottom