Hali si shwari Msimbazi!

hiyo story upewa kijiwe ipi?πŸ˜ƒ
Kama Manara alishindwa kuvumilia nina hakika kwa kamwaga litatokea tu, Huyu Ezekiel atamwaga mboga kama sio ugali muda wowote
 
Unakuwaje mtu mzima halafu muongo muongo na cha kusikitisha zaidi pengine wewe ni jinsia ya Kiume[emoji15]
 
Utajili bila wizi na ujanja ujanja hutoboi.
MO ni mwizi sema anajificha kwa kigezo cha Kufadhili simba.
Ngoja tusubili..anaweza badilika

Ni kweli kabisa usemayo,ndiyo maana hata GSM kabla ya hapo alipiga deals nyingi sana na akakwepa ushuru wa kutosha chini ya HSC,baada ya utawala wa JK kwisha ikazaliwa GSM,hapo vipi?
 
Nyie hangaikeni na propaganda za kimalaya malaya ligi ikianza mkimanuliwa manuliwa msipekeke lawama TFF. Wenzenu wanawekeza uwanjani nyie kwenye umbe.
 
Sasa tufanyeje
 
yanga mngepambana na timu yenu. propaganda dhidi ya Simba hazitawasaidia
 

Wewe jamaa kwa uongo huna mpinzani hapa jukwaani.Naona umekoma kutumia lugha ya Malkia kwa sasa [emoji3][emoji3]
 
Wewe jamaa kwa uongo huna mpinzani hapa jukwaani.Naona umekoma kutumia lugha ya Malkia kwa sasa [emoji3][emoji3]
Mimi nakupa hizo za ndani kabisa ambazo wewe hauna mkuu

Subiri mvua inyeshe ili tuone panapovuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…