Hali si shwari Msimbazi!

Hali si shwari Msimbazi!

Unakuwaje mtu mzima halafu muongo muongo na cha kusikitisha zaidi pengine wewe ni jinsia ya Kiume[emoji15]
 
Utajili bila wizi na ujanja ujanja hutoboi.
MO ni mwizi sema anajificha kwa kigezo cha Kufadhili simba.
Ngoja tusubili..anaweza badilika

Ni kweli kabisa usemayo,ndiyo maana hata GSM kabla ya hapo alipiga deals nyingi sana na akakwepa ushuru wa kutosha chini ya HSC,baada ya utawala wa JK kwisha ikazaliwa GSM,hapo vipi?
 
Nyie hangaikeni na propaganda za kimalaya malaya ligi ikianza mkimanuliwa manuliwa msipekeke lawama TFF. Wenzenu wanawekeza uwanjani nyie kwenye umbe.
 
Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.

Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Sasa tufanyeje
 
Kuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa
yanga mngepambana na timu yenu. propaganda dhidi ya Simba hazitawasaidia
 
Kuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa

Wewe jamaa kwa uongo huna mpinzani hapa jukwaani.Naona umekoma kutumia lugha ya Malkia kwa sasa [emoji3][emoji3]
 
Wewe jamaa kwa uongo huna mpinzani hapa jukwaani.Naona umekoma kutumia lugha ya Malkia kwa sasa [emoji3][emoji3]
Mimi nakupa hizo za ndani kabisa ambazo wewe hauna mkuu

Subiri mvua inyeshe ili tuone panapovuja
 
.
FB_IMG_1629179437509.jpg
 
Back
Top Bottom