Hali si shwari Msimbazi!

Mwaka wa 5 huu tunaingia na maneno yenu ni yale yale, napenda kuwapa life cycle ya furaha ya ndugu zetu watani Yanga

PHASE 1 hii huja na furaha kubwa sana ya usajili na washabiki wa yanga huona kama ligi inachelewa kuanza

PHASE 2 hii huja na propaganda kupitia kwa wachambuzi na watangazaji kama kina kitenge na wengine, na hii ndio phase waliyopo hivi sasa, ni kuzusha tu kwa kwenda mbele ila kumbukeni hii hatua Simba wanaipitia kila mwaka kwahiyo sio jambo jipya nyie komaeni tu kuandika ata kilugha

PHASE 3 kuamini kuwa wanachukua kombe, hii hatua waga inafika kwenye kati kati ya mwezi wa 2 hadi 3, hapa yanga wanakuwa na imani kubwa sana kuwa wanachukua kombe, hapo wanakuwa either wanaongoza ligi kutokana au wameifunga simba ama wametoa draw mechi ya kwanza

PHASE 4 hii ndio hatua ya malalamiko hufika rasmi, wataanza na lawama kwa marefa, bodi ya ligi, karia hapa ndipo muda wa mzee wetu mwakalebela hutoka mbele na kuitisha press kila baada ya week 2 kuwa wanaonewa

PHASE 5 baada ya kujua na kuamini kuwa ni kweli kombe wamelikosa waga wanakuja na agenda ya kwamba wanahujumiwa, either na viongozi wao au wachezaji, kuna viongozi kusimamishwa kazi hiki kipindi, kuna wachezazi hawatomaliza mechi za kumalizia msimu kwa kuitwa DUKA

PHASE 6 ni hatua ya mwisho na kombe limeenda mitaa ya Msimbazi, wanabaki na meneno bila kubebwa nyie hamuwezi kubeba kombe, mshukuruni Karia, kombe lenyewe la kubebwa, mtaona msimu ujao

Ndugu zangu hiyo ni summary ya maisha ya furaha na huzuni kwa mashabiki wa Yanga, imekuwa hivi kwa miaka 4 mfululizo na itakuwa hivi kwa mwaka wa 5 tena, maana phase 1 na phase 2 ishajirudia, kwahiyo nyie kazeni tu

kwa Simba hakuna kitu tunapenda kama wizi wa mudii, yani ata wakisema aibe na lile Jengo la kariakoo akafugia KuKu wala sie hatuna shida, wizi wa mudi ni wa kisasa sana kama ule wa JK wanadai anaiba na mtaani wanachi wanapata hela nyie komaeni na Giesiemu ambae sio mwizi mbona rahisi tu, yani tuibiwe Simba ila iwaume Yanga kweli Maisha bila unafki hayaendi

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Mihela Sisi hatuna haja nayo , tulishamwambia MO abaki nayo tunachohitaji ni MAKOMBE TU ...! Sababu tunajua hicho ndicho mmekikosa Kwa Miaka 4 sasa na hakuna dalili Ya kuyapata MAKOMBE labda...labda....LABDA la MAPINDUZI...!
Ni kwasababu nyie ni mbumbumbu
 
Utajili bila wizi na ujanja ujanja hutoboi.
MO ni mwizi sema anajificha kwa kigezo cha Kufadhili simba.
Ngoja tusubili..anaweza badilika
Vipi kakuibia nini kijana .kama unahitaji kuwa mfadhuli wa Simba nenda uweke ufadhili wa kumzidi mo uichukue Tim
 
Hao wanaotaka kuona hiyo ela wanataka waifanyie nini?
 
Wewe Manara acha ramli zako.
 
Yaani nyie ngedere na nyani ndio mnajua kuwa simba kuna mpasuko?! Ukiona nyani anaruka ruka ujue kapagawa mkulima kaweka ulinzi shambani!! Zeruzeru hayupo mliezoea kumpa visenti uchwara ili atuhujumu,mmebaki kuulilia mwiko mlio shindiliwa nyuma uko kigoma
 
Vipi kakuibia nini kijana .kama unahitaji kuwa mfadhuli wa Simba nenda uweke ufadhili wa kumzidi mo uichukue Tim

Msingi wa hoja yako upo wapi?

No mercy under capitalism
Uliwai kusikia mfanyabiashara gani anawekeza kwa hasara?

Wewe unamapenzi na simba wenzio wapo kimasilah unategemea mtaendana kimtazamo na utendaji?
 
MO anafurahi sana kupata wafuasi mazumbukukuu[emoji3][emoji3][emoji3] Wao wanakwambia cha muhimu timu ishindeee..
Zumbukuku ni mama yako aliokuzaa kupitia mlango wa nyuma kenge wewe?! Miaka minne mnalialia hata kikombe cha kahawa hamjawahi kubeba,mmepagawa mpaka waarabu wamewalipia muwapelekee hizo nyaa wakawabust
 
Manyani mmechachamaa mnapokeza kunyonya rombo ya simba,miaka minne sio mchezo,mnakazwa tu,mnaambulia kikombe cha kusafisha naniliu ili mnyama apitishe mkuyenge sehemu safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…