Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Tulieni hivyo hivyo dawa iingie mpaka ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulieni hivyo hivyo dawa iingie mpaka ndani
Uzuri sisi uwekezaji wetu ni kwenye pitch, nyie endeleeni kupiga punieto huku mkiamini kuwa mko vizuriTulieni hivyo hivyo dawa iingie mpaka ndani
Sawa tusubiri mvua inyeshe, Tuone panapovujaUzuri sisi uwekezaji wetu ni kwenye pitch, nyie endeleeni kupiga punieto huku mkiamini kuwa mko vizuri
Ni kwasababu nyie ni mbumbumbuMihela Sisi hatuna haja nayo , tulishamwambia MO abaki nayo tunachohitaji ni MAKOMBE TU ...! Sababu tunajua hicho ndicho mmekikosa Kwa Miaka 4 sasa na hakuna dalili Ya kuyapata MAKOMBE labda...labda....LABDA la MAPINDUZI...!
Ok,hilo ndilo mliloliachaSawa tusubiri mvua inyeshe, Tuone panapovuja
Vipi kakuibia nini kijana .kama unahitaji kuwa mfadhuli wa Simba nenda uweke ufadhili wa kumzidi mo uichukue TimUtajili bila wizi na ujanja ujanja hutoboi.
MO ni mwizi sema anajificha kwa kigezo cha Kufadhili simba.
Ngoja tusubili..anaweza badilika
Hao wanaotaka kuona hiyo ela wanataka waifanyie nini?Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Nyie mnapokea ngapi kutoka klabu yenu ambayo hakuna ujanja janja?MO anafurahi sana kupata wafuasi mazumbukukuu[emoji3][emoji3][emoji3] Wao wanakwambia cha muhimu timu ishindeee..
Wewe Manara acha ramli zako.Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Yaani nyie ngedere na nyani ndio mnajua kuwa simba kuna mpasuko?! Ukiona nyani anaruka ruka ujue kapagawa mkulima kaweka ulinzi shambani!! Zeruzeru hayupo mliezoea kumpa visenti uchwara ili atuhujumu,mmebaki kuulilia mwiko mlio shindiliwa nyuma uko kigomaKuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Vipi kakuibia nini kijana .kama unahitaji kuwa mfadhuli wa Simba nenda uweke ufadhili wa kumzidi mo uichukue Tim
Manyani yako parade yanaruka ruka na kushangilia.Tangu lini mbumbumbu wakawa na hili au lile! [emoji16][emoji16][emoji16] Bilioni 20 zenyewe mpaka leo kizungumkuti!!
Zumbukuku ni mama yako aliokuzaa kupitia mlango wa nyuma kenge wewe?! Miaka minne mnalialia hata kikombe cha kahawa hamjawahi kubeba,mmepagawa mpaka waarabu wamewalipia muwapelekee hizo nyaa wakawabustMO anafurahi sana kupata wafuasi mazumbukukuu[emoji3][emoji3][emoji3] Wao wanakwambia cha muhimu timu ishindeee..
Manyani mmechachamaa mnapokeza kunyonya rombo ya simba,miaka minne sio mchezo,mnakazwa tu,mnaambulia kikombe cha kusafisha naniliu ili mnyama apitishe mkuyenge sehemu safi.Kuna taarifa zinaeleza ndani ya simba na Ezekiel kamwaga wametofaufiana na alikuwa tayari kujiuzulu nafasi hiyo ila now nadhani waandamizi wa simba wamemshauri hatakiwi kuachia ngazi kipindi hili kwani ataonesha dhahiri ndani ya simba kuna tatizo kubwa
Small mindManyani mmechachamaa mnapokeza kunyonya rombo ya simba,miaka minne sio mchezo,mnakazwa tu,mnaambulia kikombe cha kusafisha naniliu ili mnyama apitishe mkuyenge sehemu safi.