Hali si Shwari Ndani ya Azam FC, Wachezaji Hawamtaki Kocha Dabo

Kwa hali inavyoendelea azam bajana hana muda mrefu atatimuliwa coz inasemekana yeye ndio kiongozi wa genge la kumpigisha shoti kocha

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
GENTAMYCINE atasema Yanga wamefanya figisu
 
AZAM KUNA MUDA HAWAELEWEKI WANATAKA NINI
 
Timu wa mpe Mgunda then wampe uhuru ,ila ndio hivyo Azam kama hawawataki makocha wa ndani.

Ila Mgunda anafit kufundisha timu yoyote ile Tz,tena Mgunda akimpa nusu ya mshahara anaopata huyo kocha wa sasa ,watakuwa wame okoa hela.
 
Kwa kweli wachezaji wanamhujumu kocha
Jamaa ni kocha mzuri machezaji ndiyo mapumbavu
Good kwa uongozi kuziba masikio kocha lazima uwe mkali
 
Timu wa mpe Mgunda then wampe uhuru ,ila ndio hivyo Azam kama hawawataki makocha wa ndani.

Ila Mgunda anafit kufundisha timu yoyote ile Tz,tena Mgunda akimpa nusu ya mshahara anaopata huyo kocha wa sasa ,watakuwa wame okoa hela.
Taratibu mkuu mgunda ni mtumishi wa mnyama simba
 
Inawezekana kweli Azam wamemchoka kocha maana nacho kiona hapa suo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…