Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Umenikumbusha Kabendera na kifo cha mama yake aisee nawaunga mkono Wahaya
 
Naona huku kuna joto kali sana ndani ya CCM mwenyekiti wa ccm mkoa wa kagera anapokea maaigizo kutoka juu kuwa awaadhibu wasaliti walioko ndani ya chama pia bashiru anataka apewe orodha ya wasaliti mara moja.
CCM wamebadilisha maana ya USALITI kabisa:
1.Ukipinga
2.Ukikosoa
3.Ukiwasema
4.Ukiwakataza
5.Ukiwashtaki
6.Ukiwapuuza
7.Ukiwakemea
8.Ukitoa mawazo mbadala
Wewe ni MSALITI! Naona kikundi cha WASALITI kina kuwa tu. Yote ni Kheri.
 
Hii aina nguvu, huwezi kuweka watu sehemu muhimu usio wafahamu kisa tu unepuka ukanda. Kassim Majaliwa, Kabudi, Kitila, Mwigulu nao ni wakanda ya ziwa?
Pangua hao aliowaorodhesha kwanza, hizo ni nafasi nyeti tena ukiongeza jaji mkuu msukuma na ndio maana tumeona mahakama zikiamua kisiasa.

Ukanda kwa hao wewe unataka baraza lote la mawaziri watoke huko ndio uthibitishe ukanda?
 
Mbona mlijaa sana kwenye mkutano wake alipokuja huko
Wewe unaamini shazi la mikutano ya Jiwe??? Watu wanapiga pesa jombaa si unajua mzunguko wa hela ulivyo mbovu mikoani na nchini kwa ujumla???

Alafu kama mtu kumuona Ali Kiba kwenye fiesta hadi alipie 10,000 Kwa nini asiende kumuona bure kwenye mkutano wa Ccm??
 
Mimi ya kwangu anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…