mbegunjema
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 342
- 334
Eti ziwa lao, acha utani.Egypt wakijua mmechafua ziwa lao hivyo sijui mtawaeleza nini, mnataka kuwaua na kiu watu wa Misri?
Eti ziwa lao, acha utani.Egypt wakijua mmechafua ziwa lao hivyo sijui mtawaeleza nini, mnataka kuwaua na kiu watu wa Misri?
Utani? Kajaribu kufanya shughuli zako za kupunguza maji ziwa Victoria uone kama Misri hawajakushtakiEti ziwa lao, acha utani.
Dah Mkuu, watu huwa wanajipigia posho kwenye miradi lakini matokeo ni holaLVEMP I,II, & III hazikuyagundua haya au ilikuwa program ya nini?