M mbegunjema JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 342 Reaction score 334 Apr 4, 2025 #21 Lucha said: Egypt wakijua mmechafua ziwa lao hivyo sijui mtawaeleza nini, mnataka kuwaua na kiu watu wa Misri? Click to expand... Eti ziwa lao, acha utani.
Lucha said: Egypt wakijua mmechafua ziwa lao hivyo sijui mtawaeleza nini, mnataka kuwaua na kiu watu wa Misri? Click to expand... Eti ziwa lao, acha utani.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,523 Reaction score 30,084 Apr 4, 2025 #22 Tuna jukumu muhimu sana kuliko huu utafiti wao ambao wameufanya bila kuhusisha wanasayansi wetu wabobevu, hivi sasa tunashughurikia kura zetu.
Tuna jukumu muhimu sana kuliko huu utafiti wao ambao wameufanya bila kuhusisha wanasayansi wetu wabobevu, hivi sasa tunashughurikia kura zetu.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,234 Reaction score 28,473 Apr 4, 2025 #23 HOW TO CRACK DOWN POISON ILIYOSEMWA KABLA YA KUYALETA MPAKA KATIKATI YA NCHI.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,400 Apr 4, 2025 #24 mbegunjema said: Eti ziwa lao, acha utani. Click to expand... Utani? Kajaribu kufanya shughuli zako za kupunguza maji ziwa Victoria uone kama Misri hawajakushtaki
mbegunjema said: Eti ziwa lao, acha utani. Click to expand... Utani? Kajaribu kufanya shughuli zako za kupunguza maji ziwa Victoria uone kama Misri hawajakushtaki
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,586 Apr 28, 2025 #25 Nomadix said: LVEMP I,II, & III hazikuyagundua haya au ilikuwa program ya nini? Click to expand... Dah Mkuu, watu huwa wanajipigia posho kwenye miradi lakini matokeo ni hola
Nomadix said: LVEMP I,II, & III hazikuyagundua haya au ilikuwa program ya nini? Click to expand... Dah Mkuu, watu huwa wanajipigia posho kwenye miradi lakini matokeo ni hola