Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin.

Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora.

Hii ni baada ya dicteta Putin kushambulia miji yenye makazi ya watu na kifanya mauaji. Putin akitoboa mwaka huu mtanambia

=====

1665622242990.png

More than 50 Western countries have met in Brussels to pledge more weapons for Ukraine, especially air defence systems, after Russia launched its most intense missile barrage since the war began.

At Wednesday’s meeting of the Ukraine Defense Contact Group, US Secretary of Defense Lloyd Austin said Russia’s latest attacks had laid bare its “malice and cruelty” since invading Ukraine on February 24.
 
Nilifikiri majeshi ya nchi zao yameshaizunguka Russia tayari kwa mashambulizi, kumbe unazungumzia matamko hayo yapo tangu anaitwanga Georgia, tangu anaichukua Crimea n.k.

Labda tungoje safari hii pengine ikawa tofauti!
 
Putin ni mwehu kamili confirmed! Huwezi kuvamia nchi ya watu, kupora ardhi yao, wanapojitetea unapiga makombora ovyo ovyo makazi ya raia . Atakufa kifo cha aibu sana.
Sema atakufa shujaa kwa taifa lake kwani ameukataa udhalimu wa mabeberu ameamua kusimama na taifa lake na watu wake hata wale walionjee ya taifa lake wanaonyanyasika na mabeberu 🏃🏃
 
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor putin.

Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora.

Hii ni baada ya dicteta putin kushambulia miji yenye makazi ya watu na kifanya mauaji. Putin akitoboa mwaka huu mtanambia

=====

View attachment 2385387

More than 50 Western countries have met in Brussels to pledge more weapons for Ukraine, especially air defence systems, after Russia launched its most intense missile barrage since the war began.

At Wednesday’s meeting of the Ukraine Defense Contact Group, US Secretary of Defense Lloyd Austin said Russia’s latest attacks had laid bare its “malice and cruelty” since invading Ukraine on February 24.
Huna akili. Unajua hao wazibuliwa mitaro hicho ni kikao Cha ngapi wamekaa. Kwani ndiyo watakuwa wameanza kutoa hizo silaha.
Mtaacha lini kutumia Masaburi kwenye kufanya mambo yenu ndegelec nyie!
 
Sema atakufa shujaa kwa taifa lake kwani ameukataa udhalimu wa mabeberu ameamua kusimama na taifa lake na watu wake hata wale walionjee ya taifa lake wanaonyanyasika na mabeberu 🏃🏃
hao watu wake wapi,ambao ukiwa na mawazo tofauti na yake ni kosa!!mambo ya ajabu sana
 
Nilifikiri majeshi ya nchi zao yameshaizunguka Russia tayari kwa mashambulizi, kumbe unazungumzia matamko hayo yapo tangu anaitwanga Georgia, tangu anaichukua Crimea n.k.

Labda tungoje safari hii pengine ikawa tofauti!
Hamna maajabu yeyote yatatokea. Russia, N.korea na USA wanaweza wakaamua chochote ndani na nje ya mipaka yao na UN isifanye chochote zaidi ya kupoteza pesa za vikao vya umbea na maamuzi yasiyo kuwa na impact.

UN NI FAILED INTERNATIONAL ORGANIZATION.
 
Back
Top Bottom