Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

Nilifikiri majeshi ya nchi zao yameshaizunguka Russia tayari kwa mashambulizi, kumbe unazungumzia matamko hayo yapo tangu anaitwanga Georgia, tangu anaichukua Crimea n.k.

Labda tungoje safari hii pengine ikawa tofauti!
Mkuu this time around Crimea inarudi Ukraine..kupiga majengo ya RAIA na kuua inaonyesha umeshindwa vita katika uwanja wa mapambano...Putin atakuwa atapata aibu kubwa.Kiujumla kashindwa hii gemu na myahudi Zelensky.
 
Hata Putin ni Myahudi! Ulaya mashariki karibu nchi zote ni wana wa Ibrahimu, ni ndugu.
 
Saudi leader pledges $400 million in humanitarian aid for Ukraine and offers mediation​

Saudi Arabia’s Crown Prince Mohammed bin Salman called Ukraine’s President Volodymyr Zelensky on Friday to pledge $400 million in humanitarian aid to “alleviate the suffering of Ukrainian citizens in the wake of the crisis,” according to the state-run Saudi Press Agency.
The crown prince also said that Saudi Arabia’s position was to support “de-escalation” and that the kingdom stood ready to “continue efforts of mediation,” between Ukraine and Russia, the state news agency said.
Cnn
 
mtu anakupatia silaha ili upiganie nyumbani kwako na sio nyumbani kwake, na wewe unasema anakusaidia? kweli? kama wanataka kumsaidia waingie vitani wao, wasimpe silaha, wanavyozidi kumpa silaha itafika kipindi hata ile miundombinu na majengo na miji iliyobaki ukrain itakuwa mavumbi kwasababu ukrain inafanywa kuwa battle ground, na sio russia. kiburi si maungwana.
 
Saudi leader pledges $400 million in humanitarian aid for Ukraine and offers mediation​

Saudi Arabia’s Crown Prince Mohammed bin Salman called Ukraine’s President Volodymyr Zelensky on Friday to pledge $400 million in humanitarian aid to “alleviate the suffering of Ukrainian citizens in the wake of the crisis,” according to the state-run Saudi Press Agency.
The crown prince also said that Saudi Arabia’s position was to support “de-escalation” and that the kingdom stood ready to “continue efforts of mediation,” between Ukraine and Russia, the state news agency said.
Cnn
Hiyo ni misaada ya kibinadamu sio misaada ya silaha hiyo kila MTU anaweza kutoa.
 
Back
Top Bottom