Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Nilifikiri majeshi ya nchi zao yameshaizunguka Russia tayari kwa mashambulizi, kumbe unazungumzia matamko hayo yapo tangu anaitwanga Georgia, tangu anaichukua Crimea n.k.
Labda tungoje safari hii pengine ikawa tofauti!
Safari hii mambo yatakuwa tofauti kidogo, ikiwa NATO watajitia kuishambulia Urusi kijeshi watajuta kweli kweli sio utani.
Taifa la kwanza ambalo litashambuliwa with overwheling power/force at their disposal ni Amerika kasikazini yenyewe - itachakazwa vilivyo ndani ya aridhi ya taifa lao kwa mara ya kwanza tangu lipate uhuru kutoka kwenye utawala wa Uingereza - si utani, Warusi uwezo huo wanao sana sana, msidanganyike kirahisi na mbwembwe na majigambo ya Biden na wapambe wake, vinchi vidogo vifogo vya NATO na kiranja wao mkuu hawawezi kumfanya lolote Putin kama bado wanajipenda,, sisemi Urusi haita adhilika kwa vita, la hasha watapata hasara lakini Amerika ndio ita adhilika zaidi kutokana na Uchina,Korea Kaskazini,Iran,Syria na wengine kushirikiana na Russia kukomesha ujeuri na kiburi cha USA, watashirikiana na Urusi kwa sababu wanajua wakimwachia Merikani hivi hivi uwezi juwa kesho atamvia nani - kwa hiyo time ya deal na ujeuri/viburi vya Merikani is now,now not later.
Nakumbusha kwa mara nyingine tena kwamba Urusi haipo peke yake katika harakati zake za kupambana ukoloni mambo leo unao kuwa preached na Anglo-Saxon gang, mfano siasa za kishetani zinazo hubiri: Unipolar World, so called New World Order, World hegemony and all vices you can imagine - Dunia imekwisha choshwa kusikiliza na kulazimishwa kufuata mahubiri na nyenendo za Lucifer, Duniani inacho taka ni amani ya kudumu,basi na sio mambo ya kuchochea mataifa ili yasielewane na kupenda penda vita kwa ajili ya kunufaisha viwanda vya silaha big time.