... hiyo ni official site ya WHO shirika la afya duniani wabobezi wa masuala ya afya za binadamu Mkuu. Kama taarifa rasmi ya WHO ni ya kusadikika basi hakuna tena wa kumwamini kuhusu masuala ya afya.Hizo ni habari za kusadikia kwa sababu hakuna udhitisho kutoka chombo cha habari cha kuaminika.
Ilifuata kupunguza idadi ya watu hususani Africa ikiwa target
Nasemaje!??? USA BABALAOOOOO
Westerners wanaweza kuwa wanafeed some wrong info
Ila mambo si mazuri hata kidogo ile nchi i tell you
Google tu NorthKorea at Night u wl be shocked
Bado ukisimuliwa maisha yao utachoka kabisaa
Huu ugonjwa ni sahihi umepandikizwa na USA ili kuharibu uchumi wa china na baadhi ya nchi za kanda hizo,kumekuwepo na migororo sana , attention nying sana zinazohusu mataifa haya hivi karibun kiuchumi,white people are like animals,kama waliweza tengeneza HIV hata hili hawashindwi.
Dah,kosa la kiongozi wanaoumia wananchi jamaniHaaaa dear hamna nchi wana tabu kama ile hata Tanzania tunaishi vizuri
Js google documentaries abt life in North Korea...u will be shocked!! Hata satelite images za usiku tu utaona hawana umeme...almost nchi nzima
I am still shocked..hii corona ndo watakufa vibaya kabisa Mungu awasaidie tu
Sawa.You quoted where wasnt a key point,my concerns were to argue the false info.provided by western countries about NK
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi yako yashindwe kwa jina la Mwenyezi MUNGU, huu ugonjwa unawaathiri wasiomuamini MUNGU tu, michina na mikorea haiamini MUNGU na wewe ndo unayoishadadia.
USA baba laooooo
Kile kibaba kiache kiburi jamani, mimi nilijua amejikamilisha kila kitu ndio maana jeuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa ni sahihi umepandikizwa na USA ili kuharibu uchumi wa china na baadhi ya nchi za kanda hizo,kumekuwepo na migororo sana , attention nying sana zinazohusu mataifa haya hivi karibun kiuchumi,white people are like animals,kama waliweza tengeneza HIV hata hili hawashindwi.
Bad enough kitu hakina dawa aisee.
No oncet, no codril, no piriton.
Ukikupata the timer goes down.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi yako yashindwe kwa jina la Mwenyezi MUNGU, huu ugonjwa unawaathiri wasiomuamini MUNGU tu, michina na mikorea haiamini MUNGU na wewe ndo unayoishadadia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi yako yashindwe kwa jina la Mwenyezi MUNGU, huu ugonjwa unawaathiri wasiomuamini MUNGU tu, michina na mikorea haiamini MUNGU na wewe ndo unayoishadadia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu yangu ni ya kiwango cha juu, bila shaka ya kwako ni kiwango cha chini mno ndo maana unahoji hoji elimu za watu na kulisha watu maneno eti nimesema wachina na wakorea hawana dini, ni wapi nimesema hivyo?!Sexer labda nikuulize kitu, hivi elimu yako ni ya kiwango gani? Analysis zako mara nyingi ni highly questionable - chukulia comments zako za kudai eti "Wachina na Wakorea hawana dini" ndio maana wanashambuliwa na virusi vya corona, yaani masuala ya sayansi unatumbukiza dini - races nyingine zinastahimili virusi vya Corona kutokana na genetic make up zao, it has nothing to do with religion, walio soma sayansi wanaelewa ukweli huo.
Unaishi Duniani gani? Yaani huna hata habari kwamba China na Korea kuna madhebu ya dini za Kikristo,Waislaam na za Kibudha,kuna ma Imamu na Maaskofu, apart from vices mentioned above you are also being driven by rabid hatred of Orientals specifically Chinese and Korean not 4getting them Russians - strange character!! Don't you think?
He goes "Michina na Mikorea haiamini Mungu" you are not even ashamed of using derogatory language, hili ndilo tatizo la baadhi ya watu weusi wenye kutawaliwa na remnant colonial mentality to them the World is Europe and America in other words binadamu ni wazungu tu na sio races nyingine, mtabishana usiku kucha lakini ndivyo walivyo, wewe ukiwa ni kinara anae ongoza kundi hilo kwenye forum hii.