Sexer labda nikuulize kitu, hivi elimu yako ni ya kiwango gani? Analysis zako mara nyingi ni highly questionable - chukulia comments zako za kudai eti "Wachina na Wakorea hawana dini" ndio maana wanashambuliwa na virusi vya corona, yaani masuala ya sayansi unatumbukiza dini - races nyingine zinastahimili virusi vya Corona kutokana na genetic make up zao, it has nothing to do with religion, walio soma sayansi wanaelewa ukweli huo.
Unaishi Duniani gani? Yaani huna hata habari kwamba China na Korea kuna madhebu ya dini za Kikristo,Waislaam na za Kibudha,kuna ma Imamu na Maaskofu, apart from vices mentioned above you are also being driven by rabid hatred of Orientals specifically Chinese and Korean not 4getting them Russians - strange character!! Don't you think?
He goes "Michina na Mikorea haiamini Mungu" you are not even ashamed of using derogatory language, hili ndilo tatizo la baadhi ya watu weusi wenye kutawaliwa na remnant colonial mentality to them the World is Europe and America in other words binadamu ni wazungu tu na sio races nyingine, mtabishana usiku kucha lakini ndivyo walivyo, wewe ukiwa ni kinara anae ongoza kundi hilo kwenye forum hii.