Hali Tete: North Korea wavamiwa na Corona Virus

Hali Tete: North Korea wavamiwa na Corona Virus

Hizo ni habari za kusadikia kwa sababu hakuna udhitisho kutoka chombo cha habari cha kuaminika.
... hiyo ni official site ya WHO shirika la afya duniani wabobezi wa masuala ya afya za binadamu Mkuu. Kama taarifa rasmi ya WHO ni ya kusadikika basi hakuna tena wa kumwamini kuhusu masuala ya afya.
 
Huu ugonjwa ni sahihi umepandikizwa na USA ili kuharibu uchumi wa china na baadhi ya nchi za kanda hizo,kumekuwepo na migororo sana , attention nying sana zinazohusu mataifa haya hivi karibun kiuchumi,white people are like animals,kama waliweza tengeneza HIV hata hili hawashindwi.

Well said, na hicho ndicho kinacho endelea hapa - hivi ni virus vilivyo tengenezwa kwenye mahabara za kijeshi, sio siri kwamba USA, Russia, China na Uingereza wanajihusisha sana kwenye sekta za ku unda silaha za kibailojia na kemikali - mfano: mahabara za USA zinazo jihusisha na tafiti za kuzalisha virusi, bakteria pamoja na ku-synthesize makemikali ya kutumiwa kwenye silaha za vita - mahabara hizo USA amezisambaza katika baadhi ya Mataifa hapa Duniani, mfano: huko Georgia karibu na Taifa la Urusi, Korea Kusini, some Latin American Nations, Africa (moja wapo ikiwa ni one of East Africa Nation - sijui kama hata Serikali ya Taifa hilo inajua ukweli huo).

Mwaka juzi nilisoma taarifa iliyo kuwa inasema Uncle SAM anafanya tafiti zinazo husu DNA za bone marrow za watu wenye asili ya Urusi! Huu kama sio wendawazimu tuuiteje. Je, watu wamejiuliza ni kwa nini virus vya corona vinaua zaidi watu wenye asili ya Kichina lakini race nyingine waki ambukizwa wanapata madhala kidogo halafu wanapona upesi mfano Ujerumani mama mmoja wa Kichina aliye kwenda kutoa lecture kwenye kiwanda fulani Ujerumani aliwahambukiza baadhi ya wafanyakazi lakini hakuna aliye fikia hatua ya kupelekwa ICU au kufariki, wote walipata mild infection - hii inaleta picha gani?

Kitu kingine, kwa nini media za magharibi specifically USA wana rejoice kwamba finally virusi vya corona vitazorotesha Uchumi wa China?
 
Makombora ndio kupaombele chao.

Mungu ikimpendeza awalaze pema peponi watakaokufa kwa coronavirus.
 
Haaaa dear hamna nchi wana tabu kama ile hata Tanzania tunaishi vizuri

Js google documentaries abt life in North Korea...u will be shocked!! Hata satelite images za usiku tu utaona hawana umeme...almost nchi nzima
I am still shocked..hii corona ndo watakufa vibaya kabisa Mungu awasaidie tu
Dah,kosa la kiongozi wanaoumia wananchi jamani
 
Huu ugonjwa sio wakufanyia masihara kabisa, hasa hizi nchi zetu , tusipuuze habari zinazo toka mapema , maana hizi nchi zetu zina tabia sana unaweza kuzuiwa usiseme kama kuna mtu ana hu ugonjwa mwisho wa siku wengi wanaambukizwa hatimaye kuuuzuia inashindikana
 
Kula gwala mzeeiyaaa
Huu ugonjwa ni sahihi umepandikizwa na USA ili kuharibu uchumi wa china na baadhi ya nchi za kanda hizo,kumekuwepo na migororo sana , attention nying sana zinazohusu mataifa haya hivi karibun kiuchumi,white people are like animals,kama waliweza tengeneza HIV hata hili hawashindwi.
 
Tiba ya HIV haijapatikana wametupa mzinga mwingine tena Corona, jina utazani gari kumbe gonjwa baya na linaambukiza fasta kuliko ukomwi, wameona kwenye ukimwi watu hawanaswi sana nakuisha haraka wameona wabuni namna hii ya corona sasa
 
Maombi yako yashindwe kwa jina la Mwenyezi MUNGU, huu ugonjwa unawaathiri wasiomuamini MUNGU tu, michina na mikorea haiamini MUNGU na wewe ndo unayoishadadia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sexer labda nikuulize kitu, hivi elimu yako ni ya kiwango gani? Analysis zako mara nyingi ni highly questionable - chukulia comments zako za kudai eti "Wachina na Wakorea hawana dini" ndio maana wanashambuliwa na virusi vya corona, yaani masuala ya sayansi unatumbukiza dini - races nyingine zinastahimili virusi vya Corona kutokana na genetic make up zao, it has nothing to do with religion, walio soma sayansi wanaelewa ukweli huo.

Unaishi Duniani gani? Yaani huna hata habari kwamba China na Korea kuna madhebu ya dini za Kikristo,Waislaam na za Kibudha,kuna ma Imamu na Maaskofu, apart from vices mentioned above you are also being driven by rabid hatred of Orientals specifically Chinese and Korean not 4getting them Russians - strange character!! Don't you think?

He goes "Michina na Mikorea haiamini Mungu" you are not even ashamed of using derogatory language, hili ndilo tatizo la baadhi ya watu weusi wenye kutawaliwa na remnant colonial mentality to them the World is Europe and America in other words binadamu ni wazungu tu na sio races nyingine, mtabishana usiku kucha lakini ndivyo walivyo, wewe ukiwa ni kinara anae ongoza kundi hilo kwenye forum hii.
 
Elimu yangu ni ya kiwango cha juu, bila shaka ya kwako ni kiwango cha chini mno ndo maana unahoji hoji elimu za watu na kulisha watu maneno eti nimesema wachina na wakorea hawana dini, ni wapi nimesema hivyo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom