Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]kawaida yake huyo.
Mpira wa Miguu una matokeo ya kikatili sana.
Kesha........t.w........kidole cha kota
Wa kwanza awe Morisson amezidisha upumbavuKocha asepe..... Mbwa tu.. Likocha lipolipo tuuu....
Michezaji misenge senge tupa kule... Wawa, Kagere wawe wa kwanza kutupiwa mabegi..
Nipo nae hapa anawaza SanaMwijaku aliahidi kutembea uchi wakifungwa
Watu kama Wawa na kagere niliamini tutawaacha msimu huu kwa sababu wamechoka ila ndio kwanza wanaaminiwaFuta banch zima la ufundi na michezaji kama wawa nadhan ni mda wa kula pension