Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

Makolo bhana...

Eti walivyoona yule jamaa ambae ni mwembamba kama uzi anaitwa Sadio Kanoute, basi kwa umbumbumbu tu yenyewe yakadhani atakuwa anacheza kama Sadio Mane!!
 
Unafungwa na kitu kisichokuwa hata kwenye ramani ya soka unasema ni aggregate ya 3-3, na aliyekuambia unajua mpira ni nani?
kufungwa huwa inatokea tu mbona hata yanga ambao kabisaa hawapo kwenye ramani ya soka lkn kuna wakati wanatufunga??
 
kufungwa huwa inatokea tu mbona hata yanga ambao kabisaa hawapo kwenye ramani ya soka lkn kuna wakati wanatufunga??
Ukisema Yanga hawapo kwenye ramani ya soko, itaonekana ether unakuwa au wengi la jana halijaisha, unakuzana kufikia record ya Yanga ila bado safari ni ndefu.
 
Sasa utamcheka aliyetolewa kwa 3-3.
ukamuacha kumcheka aliyetolewa kwa 2-0 utakuwa unajua mpira kweli?
HAUWEZI KUMCHEKA SIMBA UKAMUACHA UTOPOLO ALIYEKULA 2-0 nje ndani.
Labda iwe haujui mpira
Kwa timu za Tanzania zilizoshiriki mashindano ya kimataifa, Simba ndio ameongoza kwa kupewa kipigo kikubwa akiwa nyumbani tena kutoka kwa kutimu cha mtaani huko.
 
Huyu muhindi hajui lolote kuhusu mpira. akifungwa tu anataka watu wawajibike, sasa hao akina machester na matimu mengine makubwa, mabosi zao wangekuwa kama huyu mwamba hizo social pages zao si zingejaa. kila akifungwa basi kahujumiwa yani utasema timu yake ni ile ya shaolin soccer yan.. Tumemchoka sasa
 
Kwa timu za Tanzania zilizoshiriki mashindano ya kimataifa, Simba ndio ameongoza kwa kupewa kipigo kikubwa akiwa nyumbani tena kutoka kwa kutimu cha mtaani huko.
matokeo ya jumla ya simba ngapi ngapi.nje na ugenini
 
Mo ni tapeli bilioni 20 mpaka kesho kashindwa kutoa ushahidi wa kuiwakilisha pesa hiyo. Kaona Simba midebwedo then he made the decision to jump ship before too late. Simba management needs to find the whereabouts of that 20 billions ASAP. If Mo lied then he should be put into task for his lies. Huo ujinga wa kushindwa kukataa ofa kwa sababu ni pesa ndefu ndiyo sababu soka Africa litaendelea KUDEMKA kwa miaka mingi ijayo. In some business money is not everything as compared to performance. You lose good players then your product is no longer attractive to your fans.

Ona uyu kishoia,anafananisha Simba na PSG,vitu vingine kama hujui bora ukae kimya tu,hakuna timu ukanda huu wa africa mashariki na kati ambayo inaweza kukataa ofa iliyotolewa kwa miqusoin na chama,kuendesha mpira ukanda huu ni ngumu sana kwa sababu zozote zile,msione labda MO kuna kitu anapata hapo,hakuna kitu zaidi ya kutangazwa kwa bidhaa zake ambazo nazo hazitegemei sana,ukilinganisha na pesa anayotoa.
Mpira wa kibongo una unaongelewa sana kuliko uhalisia wake,niseme nimekuwa kwenye moja ya timu ya ligi, ukiondoa ujanja ujanja mwingine hakuna net profit unaweza kupata kwenye soka la bongo.
 
Mo ni tapeli bilioni 20 mpaka kesho kashindwa kutoa ushahidi wa kuiwakilisha pesa hiyo. Kaona Simba midebwedo then he made the decision to jump ship before too late. Simba management needs to find the whereabouts of that 20 billions ASAP. If Mo lied then he should be put into task for his lies. Huo ujinga wa kushindwa kukataa ofa kwa sababu ni pesa ndefu ndiyo sababu soka Africa litaendelea KUDEMKA kwa miaka mingi ijayo. In some business money is not everything as compared to performance. You lose good players then your product is no longer attractive to your fans.
Mkuu lakini ushahidi wa kwamba Mo kaweka 20B au hajaweka ni mgumu sana ,ukisema kaweka hamna ushahidi ,ukisema hajaweka hamna pia ushahidi ,nini kifanyike ili ijulikane moja kaweka au hajaweka.

Ukiangalia bajeti ya Al Ahly na Simba ni mbingu na ardhi
 
Simba ina bank account yake. Bilioni 20 huwezi ukamkabidhi mtu mkononi ni lazima zikawekwe kwenye bank account. Aonyeshe tarehe ya cheque toka kwake na cheque number cheque hiyo ya 20 billions iliyoingia katika bank account ya Simba. Ni rahisi mno.

Back
Top Bottom