ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Mpuuzi mama yako na baba yako.....We ni mpuuz,kocha kosa lake Nini Sasa??? Michezaji inapata nafasi inashindwa kuzitumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi mama yako na baba yako.....We ni mpuuz,kocha kosa lake Nini Sasa??? Michezaji inapata nafasi inashindwa kuzitumia
Angeleta replacement za maana ingekuwa biashara kichaa kilichoingia kingetoka chote. HahahaaaaaKuwauza ilikuwa haiepukiki,tatizo ni kwanini hawakuleta replacement za maana?
Bora wewe una hoja.
Wala asitoke povu. Kale kamtindo ka Simba kuongoza kipindi cha kwanza kisha kuridhika na kuanza "biriani" ndo kamewalemaza wachezaji na kakiendelea nadhani yatatokea matokeo ya hovyo zaidi. Aggregate ya 3-0 wakaona hapa tushamaliza game wakaanza usingizi wakati mshindani wao yuko more than serious matokeo yake 3-3. Simba ina mengi ya kujifunza kwa Bayern Munchen na Liverpool. Hawachoki kukutungua magoli kama ukiwaruhusu. Yaani unakula kichapo heavy.
Mchezaji akitaka kuondoka na pesa inayotolewa ni nzuri hakuna sababu kugoma, hata Man utd walimuuza Ronaldo kwenda Madrid, na habari ya replacement haina guarantee hata hao unaowaita wazuri waliposajiliwa ulikuwa huwafahamu.Tapeli huyu!!! Kwani ile bilioni 20 inasemaje. Kauza wachezaji wazuri waliofikisha Simba mbali halafu anajifanya hajui kinachoendelea. PUMBAVU!!!
Mchezaji akitaka kuondoka na pesa inayotolewa ni nzuri hakuna sababu kugoma, hata Man utd walimuuza Ronaldo kwenda Madrid, na habari ya replacement haina guarantee hata hao unaowaita wazuri waliposajiliwa ulikuwa huwafahamu.
Hatua ya makundi.Huko viti maalum nako mnatoka
Unafungwa na kitu kisichokuwa hata kwenye ramani ya soka unasema ni aggregate ya 3-3, na aliyekuambia unajua mpira ni nani?Hatua ya makundi.
kikubwq tupo Bado CAF.
Simba katoka kwa aggregate ya 3-3.
tunaojua mpira hi sio mbaya.
Je utopplo katoka vipi?.
Tukubaliane tu kama sio yako sio yako tu
Hakuna kitu kinachodumu milele.
Simba sifa ziliwaponza
Simba haina kiwango kama cha msimu uliopita
Simba msimu wa usajili ukifika msifanye upumbavu tena sajilini wachezaji na sio wachekeshaji.
Sijapenda fedhehea ya leo
Tapeli huyu!!! Kwani ile bilioni 20 inasemaje. Kauza wachezaji wazuri waliofikisha Simba mbali halafu anajifanya hajui kinachoendelea. PUMBAVU!!!
Sasa utamcheka aliyetolewa kwa 3-3.Unafungwa na kitu kisichokuwa hata kwenye ramani ya soka unasema ni aggregate ya 3-3, na aliyekuambia unajua mpira ni nani?
Makolo bali bwine angaki si?Makolo muli bwanji baba
Badala ya kumpima yeye akili mkataka mmpime akili Mkude.Kale ni ka insane kale.Kama kuna mchezaji leo amenikera sana ni Morrison
Mzee wa kukera ameamua kutukera sisi [emoji1787][emoji1787]
Kila akipata mpira alikuwa anapiga mashuti tu, hata katikati ya uwanja
Kukaa na mchezaji kijyume na mapenzi yake ni ujinga, huyo Mbappe ameshawaambia wazi PSG ataondoka, na alitaka aondoke mapema ili PSG wapate chochote wakagoma, now ataondoka bure, RM ndio destination ya Mbappe it's only a matter of time.Mkuu Mbappe alitaka kwenda BARCA akawekewa ngumu. Na kuna tetesi PSG watampa pesa ndefu kabla ya msimu kuisha ili atie wino wa mkataba mrefu.Mcheza akiwa mzuri anaweza kuondoka lakini management ina kila sababu ya kujitahidi asiondoke kumruhusu aondoke kwa sababu tu kuna pesa ndefu na yeye anataka kuondoka si sababu tosha ya kumuacha aondoke kirahisi.
Simba haipo vizuri sawa, lakini sio kwa ile game ya jana, pale kuna uzembe wa wazi umefanyika, kama Simba ingekutana na timu ngumu tungeuona ugumu wake toka game ya kwanza lakini kuongoza kwa aggregate ya 3-0 halafu kuja kupoteza kwa away goal rule ni ujinga, tena ni uzembe msiwatetee wale wachezaji mtawalea vibaya waacheni wawajibishwe ndio stahili yao.Upo sahihi kbs Simba ya msimu huu haupo vizur kbs kuanzia pre season timu ulikuwa hovyo Sana...kocha uwezo wake ni mdogo Sana alibebwa na ubora wa timu,saiv wachezaji wengi wameshuka viwango beki za pembeni uchochoro zote,pale kati ya uwanja Hakuna utulivu kbs,mbele ndio sifuri kbs
Ona uyu kishoia,anafananisha Simba na PSG,vitu vingine kama hujui bora ukae kimya tu,hakuna timu ukanda huu wa africa mashariki na kati ambayo inaweza kukataa ofa iliyotolewa kwa miqusoin na chama,kuendesha mpira ukanda huu ni ngumu sana kwa sababu zozote zile,msione labda MO kuna kitu anapata hapo,hakuna kitu zaidi ya kutangazwa kwa bidhaa zake ambazo nazo hazitegemei sana,ukilinganisha na pesa anayotoa.Mkuu Mbappe alitaka kwenda BARCA akawekewa ngumu. Na kuna tetesi PSG watampa pesa ndefu kabla ya msimu kuisha ili atie wino wa mkataba mrefu.Mcheza akiwa mzuri anaweza kuondoka lakini management ina kila sababu ya kujitahidi asiondoke kumruhusu aondoke kwa sababu tu kuna pesa ndefu na yeye anataka kuondoka si sababu tosha ya kumuacha aondoke kirahisi.
Simba haipo vizuri sawa, lakini sio kwa ile game ya jana, pale kuna uzembe wa wazi umefanyika, kama Simba ingekutana na timu ngumu tungeuona ugumu wake toka game ya kwanza lakini kuongoza kwa aggregate ya 3-0 halafu kuja kupoteza kwa away goal rule ni ujinga, tena ni uzembe msiwatetee wale wachezaji mtawalea vibaya waacheni wawajibishwe ndio stahili yy
Kweli Jana walionesha kiwango kibovu Sana Ila tunatakiwa tuwe makini kujua chanzo ni Nini....tukichukulia hasira za matokeo tunaweza vurugana zaidiSimba haipo vizuri sawa, lakini sio kwa ile game ya jana, pale kuna uzembe wa wazi umefanyika, kama Simba ingekutana na timu ngumu tungeuona ugumu wake toka game ya kwanza lakini kuongoza kwa aggregate ya 3-0 halafu kuja kupoteza kwa away goal rule ni ujinga, tena ni uzembe msiwatetee wale wachezaji mtawalea vibaya waacheni wawajibishwe ndio stahili yao.
Sa' mbona Mwamedi anatafuta wa kuwadondoshea jumba bovu?!Huu ni mda wa kwenda shirikisho sasa hakuna cha ajab ni matokeo ya ya mpira