Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

Mo Dewji ameandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa hana nguvu ya kufanya maamuzi yoyote kwa kuwa ameshajiuzulu kuwa mwenyekiti wa bodi ya Simba SC lakini amemshauri mwenyekiti wa sasa wa bodi hiyo achukue hatua kali kwa wale wote wanaohusika na kusababisha klabu ya Simba kupoteza mchezo huo dhidi ya Jwaneng Galaxy F.C.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…