OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani