Hali tete Ukraine waanza kutumia vikongwe na watoto. Wagner Group yamtaka Zelensky atangaze kuipoteza Bakhmut maana hali ni tete

Acha ukichaa bwashee, unatakiwa utoke hapo ulipojificha nyuma ya keyboard uende VETA, kwani ujasikia au unajitia kichwa ngumu tu
Kuwa serious,Kuna Nini na huko VETA kufanya Nini?

NB:Imebidi niangalie ID Yako,2023!Una haki kubehave childish!
 
Usa na propaganda zake si walisema wamewaua wapiganaji elf 30 wa WAGNER GROUP..
USA anaenda pata aibu tena kama alivyopewa kichapo na WAGNER GROUP Alleppo Syria hadi akala kona.
 
Tsesekedi awaajiri hawa WAGNER GROUP wamfurushe kagame congo awape hata mgodi mmoja tu wawarudishe kigali watoto wa kagame
 
Kwanza Kwa matamshi Yako inaonekana wewe Bado kijana mdogo sana,18-25!
Ukikua utaacha lugha za rejareja,nilikuwa hivyo nilivyokuwa Rika lako!
Nimekuuliza,Chongolo ni nani?Na huko VETA Kuna Nini?Au wanagawa Hela?
Uwa watoto mkikaa nyuma ya keyboard mnafikiri kila mtu humu jamvini ni rika lenu.

Ungekuwa ni rika langu ungemfaham Chongolo bt kwa kuwa wewe ni mtoto........!!!!??
 
Uwa watoto mkikaa nyuma ya keyboard mnafikiri kila mtu humu jamvini ni rika lenu.

Ungekuwa ni rika langu ungemfaham Chongolo bt kwa kuwa wewe ni mtoto........!!!!??
Siwezi kumjua kila mtu ndio maana nakwambia simfahamu!Ni nani huyo Chongolo?
Kijana,Mimi nipo tokea hii forum inaitwa jambo forum!
Nilikuwa msomaji tu hata ilipoitwa jamii forum,2014 nikaamua nijisajiri nami nishiriki mijadala!
Miaka 9 iliyopita ndio nilikuwa naandika lugha ya rejareja kama Yako!
 
wagner wanapenda vita vya mdomon eti unamuomba adui akubali kusindwa , pigana maana wew ndo ulitaka kupigana licha ya ukraine kuepuka vita mwaka 2014 wakaamua kuvamia kabisa ukrane nzima mwaka 2022
 
Kwahiyo hapo tu unajiona wewe ni mzee shida sana bwashee, ok tuachane nalo
 
Ebu tazama hao View attachment 2536577

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora hao wazee kuliko we mxng ambae ukisikia panyaroad unajificha uvunguni sijui unahis nan wa kukulinda dunian ? mashoggah ndo watu wenye mitizamo kama yenu unapenda mseleleko hat kwny kujilinda , wewe ndo SERIKALI na SERIKALI ni wewe , unavamia hlg unaikimbilia chini ya uvung huo ni USHOGA typical
 
fuatilia urusi akiwapenda wanaz ila walipomgeuka ndo wakawa maadui
Sasa si walimgeuka mkuu ndo maana anawachapa, Na hawa wamarekani si walishamsaidiaga zamani, Wamemgeuka anawachapa.Hataki masihara ukimzingua.Ni nchi muhimu kwenye mzani wa kinguvu na utawala.
 
Usa na propaganda zake si walisema wamewaua wapiganaji elf 30 wa WAGNER GROUP..
USA anaenda pata aibu tena kama alivyopewa kichapo na WAGNER GROUP Alleppo Syria hadi akala kona.
kwahiyo unahisi vita ilikuea jimbo hilo moja tu ? hapa ndo utaziona div 0 zote , muvi zimewapofua
 
Kwanza Kwa matamshi Yako inaonekana wewe Bado kijana mdogo sana,18-25!
Ukikua utaacha lugha za rejareja,nilikuwa hivyo nilivyokuwa Rika lako!
Nimekuuliza,Chongolo ni nani?Na huko VETA Kuna Nini?Au wanagawa Hela?
Ukiona unakimbilia swala la ela , umri , asili , na elimu basi tambua akili yao ni ndogo huez defend hoja zako , unatafuta pa kujifichia , tabia hiu wanayo teamPutin sabab wanasabikia wasipopaelewa zaid ya kumezeshwa tu kuea Urusi anaipigania dunia hawajiuliz kuwa West wangeweza kuiacha Ukrane ila Urusi angenogewa unihisi angesogea Ulaya magharib hapna ila angekuja huku kwetu tunaojianya wapenz mashabiki
 
Siku Tz ikiingia vitani ndo utajua kuwa hata wewe utaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…