Hali tete Ukraine waanza kutumia vikongwe na watoto. Wagner Group yamtaka Zelensky atangaze kuipoteza Bakhmut maana hali ni tete

Hali tete Ukraine waanza kutumia vikongwe na watoto. Wagner Group yamtaka Zelensky atangaze kuipoteza Bakhmut maana hali ni tete

Siwezi kumjua kila mtu ndio maana nakwambia simfahamu!Ni nani huyo Chongolo?
Kijana,Mimi nipo tokea hii forum inaitwa jambo forum!
Nilikuwa msomaji tu hata ilipoitwa jamii forum,2014 nikaamua nijisajiri nami nishiriki mijadala!
Miaka 9 iliyopita ndio nilikuwa naandika lugha ya rejareja kama Yako!
usifikir kipind inaitwa jamboforum ulikuwa msomaj pekee yako tetea hoja zako bila kugusa umri wako kama unajiona mtu mzima unda group la wahenga wenzio , humu ni ukubwa wa akili ndo tunahitaj sio umri
 
Sasa si walimgeuka mkuu ndo maana anawachapa, Na hawa wamarekani si walishamsaidiaga zamani, Wamemgeuka anawachapa.Hataki masihara ukimzingua.Ni nchi muhimu kwenye mzani wa kinguvu na utawala.
ukraine sio Germany , urusi alipigana na Germany ila Usichokielewa Ukraine ilipata uhuru kutoka USSR na sio Urusi , Urus ni yule mwanafunz anajitua kimbembele sana kisa anatumwaga na mwalimu , Ukraine kaipekua sana hii vita tangu 2014 alipoporwa Crimea ila akatulia kimya , 2022 Kaamua kuilazimisha Ukrane kuingia vitan , Wengi wenu ni ufupi wa akili ndo unawafanya kushabikia Urusi
 
Ukiona unakimbilia swala la ela , umri , asili , na elimu basi tambua akili yao ni ndogo huez defend hoja zako , unatafuta pa kujifichia , tabia hiu wanayo teamPutin sabab wanasabikia wasipopaelewa zaid ya kumezeshwa tu kuea Urusi anaipigania dunia hawajiuliz kuwa West wangeweza kuiacha Ukrane ila Urusi angenogewa unihisi angesogea Ulaya magharib hapna ila angekuja huku kwetu tunaojianya wapenz mashabiki
Hata kuandika kwenye we tabu,utaweza kujenga hoja na Mimi?Pita tu kushoto!
 
usifikir kipind inaitwa jamboforum ulikuwa msomaj pekee yako tetea hoja zako bila kugusa umri wako kama unajiona mtu mzima unda group la wahenga wenzio , humu ni ukubwa wa akili ndo tunahitaj sio umri
Umedandia treni Kwa mbele,Mimi nilikuwa namuonya huyo kijana Kwa kitendo Cha kuandika matusi!Ndio nikamueleze Kuna kipindi na Mimi nilikuwa kama yeye,miaka 10 huko iliyopita!
Kama kumpa funzo aache matusi imekuuma,basi ni juu Yako!
 
Usa na propaganda zake si walisema wamewaua wapiganaji elf 30 wa WAGNER GROUP..
USA anaenda pata aibu tena kama alivyopewa kichapo na WAGNER GROUP Alleppo Syria hadi akala kona.
WaGNER lazma wamnyooshe huyo Kima. Tena alivyowaita magaidi ndio watamuonesha ugaidi ni nini sasa. Maana wamesajiliwa kisheria kabisa.
 
Kuna wamarekani wa humu walisema baridi imeisha tutegemee makubwa
Ni kwel tuliandaa makubwa lkn wakat tunasafirisha leopard 2 kukipeleka front hapo bakhmut ili kifanye comeback yakibabe kilikwama kwenye tope ndio tunahanya kukisukuma

Tunaomba muwe na subra
 
Back
Top Bottom