GE2025 Hali tete! Utawala bora na ustawi wa jamii nchini, sababu ni hii

GE2025 Hali tete! Utawala bora na ustawi wa jamii nchini, sababu ni hii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,028
Reaction score
1,790
1. Naam... Sababu kubwa ni Siasa kwa maana ya siasa kuelekea uchaguzi, huku ikikolezwa na mafahari wawili wakimataifa wasioweza kukaa katika zizi moja.

Hao mafahari wananguvu na wanaingilia hadi mambo nyeti ni wakongwe katika gemu ya siasa mithili ya kungwi/somo ambaye ana mingle katika ndoa ya watu na kutoa manual script/ratiba ya nini, nani, wapi sangapi, na kivipi faragha yenu kifanyike.

Sasa tuachane na hao mafahali tujadili sisi mifigo wafuasi.

2.Sababu ndogo ndogo

Kimsingi hali hii tunayopitia kipindi hiki kuelekea uchaguzi chanzo kikuu/mzizi wa tatizo ni serikali yenyewe inazalisha tatizo badala ya kutatua tatizo yenyewe inalikuza tatizo.

Kwanini nasema inalikuza tatizo ni kwasababu baadhi ya raia wenye kujali wanapoona shida mahali wanasubiri mrejesho/ufumbuzi wa tatizo wanapoona hakuna kinachofanyika, kisaikolokjia hilo gape likisipo zibwa kwa hatua stahiki automatically binadamu ataliziba yeye kwa mawazo/idea au matendo anayoyajua yeye.

Pindi ananyanyuka na hoja mawazo au vitendo vyake binafsi moja kwa moja serikali inamjia juu na kumuona mkosoaji anayeikashifu serikali(viongozi) anaonekana amevunja sheria na anachukuliwa hatua kama kukamatwa na polisi kufikishwa mahakamani... Ilhali chanzo cha tatizo na mwenye makosa ni uongozi kuto kuwajibika kukosa weledi katika majukumu yao matokeo yake wanaacha mambo mengi wazi wananchi wakiyaona na kupigia kelele inakuwa nongwa.

Hii sio sawa nashauri serikali tekelezeni wajibu wenu ipasavyo.

Kwa mwenendo huu na ulimwengu ulivyofunguka hivi sitarajii hali iendelee kuwa hivi hivi kwa kwa afya ya nchi, hivyo basi mabadiliko na maboresho ni muhimu sana... Na kama hakuna nia yoyote ya mabadiliko ya kanuni sheria basi watawala wahakikishe nchi inajifungia piga propaganda raia wenu kama wanavyofanya North Korea bila hivyo "patachimbika, dawa inachemka, tutakua kujenga ukuta tusipo ziba ufa"

Hitimisho
Tunatarajia nini kama viongozi tutakua hututimizi majukumu yetu ipasavyo na kwa weledi tunataka tugundue nini? Hali hii inayoendelea sio nzuri na ni uthibitisho kwamba kunamahali tunafeli.

Asante.
 
Kutumia nguvu kuzuia maandamano si suluhisho kwani maandamano sio tatizo bali ni matokeo ya tatizo.

Ingelikua ni busara kama chanzo cha tatizo kingelitatuliwa mapema, hata joto hili lisingepanda kiasi hiki.

Mamlaka mnapaswa mjiulize mlikwama wapi hawa wanaotaka kuandamana sio wajinga, au wana nia mbaya na nchi ni wanajaribu kusahihisha incompetence iliyopo.

Wahenga wanasema "Utavuna ulichokipanda" hauwezi ukapanda pilipili ukavuna dhabibu.

Darasani wanafunzi wanapongezana wakifanya vizuri na baadhi wakifanya vibaya watazomewa si kwa nia mbaya bali ni kwa hatima njema ya kutaka waiokosea wajifunze kwa welevu na wahamasike.

Note:Mambo si mabaya kiviile bali inaonekana yamekuzwa kimkakati/kiintelijensia,sasa je ni kwa masrahi ya nani!?
 
Darasani wanafunzi wanapongezana wakifanya vizuri na baadhi wakifanya vibaya si kwa nia mbaya bali ni kwa hatima njema ya kutaka waiokosea wajifunze kwa welevu na wahamasike.

Note:Mambo si mabaya kiviile bali inaonekana yamekuzwa kimkakati/kiintelijensia,sasa je ni kwa masrahi ya nani!?
Mambo gani sii mabaya kivile na ameyakuza nani na kwa manufaa ya nani.Unachotakiwa kujua taifa hili ni letu sote.Iwapo unaweza kula na kusaza,jua wapo wanaolala njaa.Kisa kukosekana uwajibikaji katika mambo ya msingi ndani ya taifa hili.
 
Ningekuwa mmoja ya washauri wa Samia ningemwambia aachie ngazi tu kwa maslahi mapana ya taifa na angekumbukwa kama moja ya viongozi mashujaa wa taifa hili.
 
Kutumia nguvu kuzuia maandamano si suluhisho kwani maandamano sio tatizo bali ni matokeo ya tatizo.

Ingelikua ni busara kama chanzo cha tatizo kingelitatuliwa mapema, hata joto hili lisingepanda kiasi hiki.

Mamlaka mnapaswa mjiulize mlikwama wapi hawa wanaotaka kuandamana sio wajinga, au wana nia mbaya na nchi ni wanajaribu kusahihisha incompetence iliyopo.

Wahenga wanasema "Utavuna ulichokipanda" hauwezi ukapanda pilipili ukavuna dhabibu.

Darasani wanafunzi wanapongezana wakifanya vizuri na baadhi wakifanya vibaya watazomewa si kwa nia mbaya bali ni kwa hatima njema ya kutaka waiokosea wajifunze kwa welevu na wahamasike.

Note:Mambo si mabaya kiviile bali inaonekana yamekuzwa kimkakati/kiintelijensia,sasa je ni kwa masrahi ya nani!?
...
 
Back
Top Bottom