Mambo gani sii mabaya kivile na ameyakuza nani na kwa manufaa ya nani.Unachotakiwa kujua taifa hili ni letu sote.Iwapo unaweza kula na kusaza,jua wapo wanaolala njaa.Kisa kukosekana uwajibikaji katika mambo ya msingi ndani ya taifa hili.Kutumia nguvu kuzuia maandamano si suluhisho kwani maandamano sio tatizo bali ni matokeo ya tatizo.
Ingelikua ni busara kama chanzo cha tatizo kingelitatuliwa mapema, hata joto hili lisingepanda kiasi hiki.
Mamlaka mnapaswa mjiulize mlikwama wapi hawa wanaotaka kuandamana sio wajinga, au wana nia mbaya na nchi ni wanajaribu kusahihisha incompetence iliyopo.
Wahenga wanasema "Utavuna ulichokipanda" hauwezi ukapanda pilipili ukavuna dhabibu.
Darasani wanafunzi wanapongezana wakifanya vizuri na baadhi wakifanya vibaya si kwa nia mbaya bali ni kwa hatima njema ya kutaka waiokosea wajifunze kwa welevu na wahamasike.
Note:Mambo si mabaya kiviile bali inaonekana yamekuzwa kimkakati/kiintelijensia,sasa je ni kwa masrahi ya nani!?
...Kutumia nguvu kuzuia maandamano si suluhisho kwani maandamano sio tatizo bali ni matokeo ya tatizo.
Ingelikua ni busara kama chanzo cha tatizo kingelitatuliwa mapema, hata joto hili lisingepanda kiasi hiki.
Mamlaka mnapaswa mjiulize mlikwama wapi hawa wanaotaka kuandamana sio wajinga, au wana nia mbaya na nchi ni wanajaribu kusahihisha incompetence iliyopo.
Wahenga wanasema "Utavuna ulichokipanda" hauwezi ukapanda pilipili ukavuna dhabibu.
Darasani wanafunzi wanapongezana wakifanya vizuri na baadhi wakifanya vibaya watazomewa si kwa nia mbaya bali ni kwa hatima njema ya kutaka waiokosea wajifunze kwa welevu na wahamasike.
Note:Mambo si mabaya kiviile bali inaonekana yamekuzwa kimkakati/kiintelijensia,sasa je ni kwa masrahi ya nani!?