Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Wachezaji na mashabiki tunataka jezi za msimu mpya! Wewe unatuletea habari za uzushi za tiketi za timu isiyo tuhusu!Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
View attachment 2315399
Tumechoka kubandua nembo ya mdhamini wa zamani! Tunataka jezi zenye nembo ya mdhamini mpya!