Wachezaji na mashabiki tunataka jezi za msimu mpya! Wewe unatuletea habari za uzushi za tiketi za timu isiyo tuhusu!Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
View attachment 2315399
kanunue tiketi bwashee acha kuwa keyboard warrior, saidia kurudisha pesa za Gsm anazopoteza hovyohovyo kwa vilazaWachezaji na mashabiki tunataka jezi za msimu mpya! Wewe unatuletea habari za uzushi za tiketi za timu isiyo tuhusu!
Tumechoka kubandua nembo ya mdhamini wa zamani! Tunataka jezi zenye nembo ya mdhamini mpya!
Ivi kugomboe ni kiswahili fasaha?Makolo hamjapata tu pesa mkagomboe jezi zenu
punguza hiyo michezo ya kuliwa kijambio ndugu yangu hadi kila mtu unadhania anaparuliwa mzee tozi styleWe ni mke mdogo au mkubwa kwa ahmed ally?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeshikwa pabaya mnoooo., lolWachezaji na mashabiki tunataka jezi za msimu mpya! Wewe unatuletea habari za uzushi za tiketi za timu isiyo tuhusu!
Tumechoka kubandua nembo ya mdhamini wa zamani! Tunataka jezi zenye nembo ya mdhamini mpya!