Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

Chalamila unahangaika Sana. Fanya kazi. Kama kuna ulazima wa kumlaumu mtu basi mlaumu Baba yako!
Na hapa ndo kuna utofauti wa great thinkers and simple men.
Watanzania wazee, masikini, wasihojiweza walikuwa wanapewa msaada na hii ni sera ya dunia nzima, leo hicho kitu kimegeuzwa, wewe unaona kawaida.
Nitaanzia kukulaumu wewe kea sababu watu kama Ninyi ndo mnaitesa hii nchi, hamuoni mbali mnachukulia kila kitu poa
 
Baada ya uzinduzi wa Ni konect ni siku 4 tuu umeme ndani.
Hiyo ni siasa, tangu mwezi December 2021 hadi leo maombi kila Halmashauli (kwa kila Ofisi za TANESCO zilizo kila wilaya ni zaidi ya maombi 400 × idadi ya wilaya).
1:Utaona Ni konnect ni mbwembwe za kisiasa za kudanganya watu wajinga
2: mitandao hasa wa internet ni tatizo kwa sehemu kubwa nchi hii, utajua kuwa hii ni plan B ya kupunguza jam, japo TANESCO wamesha feli
 
Sasa kama wamezidiwa lazima wasue sue
 
Sasa kama wamezidiwa lazima wasue sue
Kwa nini wasisitishe kupokea maombi mapya Ili washughulikie mlundikano uliopo. Hii ndo ilikuwa njia rahisi kabisa ya kupunguza jam. Wa stop kupokea maombi mapya kwa hata miezi 6, waondoe jam alafu wafungue dirisha kwa waombaji
 
Unalia ili ugundue nini ?
 
Unalia ili ugundue nini ?
Wazalendo tunapo ona unyanyasaji ukitendwa na taasisi za serikali tunakereka sana.
Sera ya TANESCO haijabadilika ukiomba na ukaripia gharama za kuunganishiwa umeme utasubiri siku 90 za kazi. Sasa mtu unalipa na unasubiri miezi 6 hadi mwaka mmoja. Wabadili sera Ili wateja tujue
 
Pongezi na sifa zote zipo kwa Mama hakuna wakumlilia, ni kila mtu kupambana na hali yake, na ina andaliwa sherehe ya pongezi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwa nini wasisitishe kupokea maombi mapya Ili washughulikie mlundikano uliopo. Hii ndo ilikuwa njia rahisi kabisa ya kupunguza jam. Wa stop kupokea maombi mapya kwa hata miezi 6, waondoe jam alafu wafungue dirisha kwa waombaji
Hilo hawawezi maana navyowajua Tanesco hiyo ni fursa kwao
 

Linganisha ni haya ya kwenye hii clip,

Naomba waTanzania wote wazalendo tusambaze video clip hii kwa kasi kwa kila mtu,
 
Miradi mingi na vita ya uchumi iliyoanza awamu ya 5 imefilisi nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…