Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande.
Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha na mvua zinazoendelea! Barabara zimekatika na kutenganishwa na maji, tunalipia kubebwa migongoni kuvushwa.
Tumeshaomba sana na kuwasiliana na mbunge wa kawe bila mafanikio! Manispaa ya Kinondoni, TARURA tusaidieni hata makaravati tu watoto wetu waende shule.

Wee nae kondoo kabisa kwani ishu ni kuwa Dar au ni ubovu wa barabara? Akili mgando kama hizi bora Dipii weldi waitwae tu bandari khaaa [emoji1787][emoji375]
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande.
Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha na mvua zinazoendelea! Barabara zimekatika na kutenganishwa na maji, tunalipia kubebwa migongoni kuvushwa.
Tumeshaomba sana na kuwasiliana na mbunge wa kawe bila mafanikio! Manispaa ya Kinondoni, TARURA tusaidieni hata makaravati tu watoto wetu waende shule.
Hii ni barabara inayounganisha maeneo ya Madale na Mbopo (Dar es Salaam), inatumiwa sana na Watoto wa Shule lakini ni miaka mitatu tangu Mbunge wetu wa Kawe alipotupa ahadi kuwa ya kutuwekea daraja sehemu hii.
Kibaya zaidi kuna watu wanaendelea na shughuli ya kuchimba mchanga na wengine wanaendelea kujenga kufuata Barabara lakini Serikali ipo kimya.
Baada ya muda watakuja na staili yao ya kukurupuka na kuleta hoja ya kuvunja nyumba za watu kwamba wamevamia Hifadhi ya Barabara.
Ni jambo ambalo linasikitisha sana, barabara hii ina upana wa Mita 70 na ninavyojua ipo chini ya TANROADS.