frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
Magufuli aliposema Tanzania ni kama Ulaya hamkumuelewa. Sasa mmemwelewa kidogo, au sioΒΏKwa hii baridi inayoendelea nchini Ukute serikali ya SiSiEM Imekula hela ya joto ππ
Ni ajabu kuona dar leo hatutembei vifua wazi
Unalalaje mwenyewe au umekosa kampaniNa walala mmoja mmoja tunaipata
Midebwedo ya dasilamu aibu sana, kila kitu kulialia tuuuu!!!!