Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
6,585
Reaction score
10,363
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga bandage na anatembelea ndala, Nimemuona leo asubuhi nikiwa naelekea kazini atembea kwa msaada wa watu wanampa support (Nahisi alikuwa amelewa sana) Uso wake ni kama hauna matumaini

Nitoe wito kwa wasanii wenzake na Familia yake wamfuate pale msasani coz anaishi maskani na hana mtu wa kumuangalia, Sina uhakika ila kuna uwezekano labda amerudi tena kwenye wimbi la madawa ya kulevya

Kwa inavyoonekana ni kama wasanii wenzake wamemsusa, hawana time naye tena Lakini naona sio sahihi coz ni Msanii mwenzao inabidi wakubali kubeba hili jukumu la kumlinda na kumtunza Chidibenz, Juzi kwenye show ya Serengeti pale K/nyama viwanja vya posta, Chidibenz alipanda kwenye show ya Rosa ree lakini hakuchukua mda akashushwa, na alikua amevaa ndala, Wakiendelea Kumtenga hivi depression inaweza ikam-maliza kabisa, Kwa upande wa Familia yake sijui wao wamejipangaje coz inaumiza sana kumuona Ndugu au mtu wako wa karibu akiwa anapitia kipindi kigumu

Vijana tujitahidini sana kuishi kwa nidhamu, Ujana una mambo mengi bila yakua na nidhamu ni rahisi kuanguka
 
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga bandage na anatembelea ndala, Nimemuona leo asubuhi nkiwa naelekea kazini atembea kwa msaada wa watu wanampa support (Nahisi alikua amelewa sana) Uso wake ni kama hauna matumaini

Nitoe wito kwa wasanii wenzake na Familia yake wamfuate pale msasani coz anaishi maskani na hana mtu wa kumuangalia, Sina uhakika ila kuna uwezekano labda amerudi tena kwenye wimbi la madawa ya kulevya

Kwa inavyoonekana ni kama wasanii wenzake wamemsusa, hawana time naye tena Lakini naona sio sahihi coz ni Msanii mwenzao inabidi wakubali kubeba hili jukumu la kumlinda na kumtunza Chidibenz, Juzi kwenye show ya Serengeti pale K/nyama viwanja vya posta, Chidibenz alipanda Wakimtenga hivi depression inaweza ikammaliza kabisa, Kwa upande wa Familia yake sijui wao wamejipangaje coz inaumiza sana kumuona Ndugu au mtu wako wa karibu akiwa anapitia kipindi kigumu

Vijana tujitahidini sana kuishi kwa nidhamu, Ujana una mambo mengi bila yakua na nidhamu ni rahisi kuanguka
Ni nani huyo mtu? Anahusika na nini?
 
Chidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.

Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.
 
Hayo ndo maisha ya watanzania wote fungua macho usiwe kama chura kipofu...
Uko sahihi. Na mbaya zaidi tunajifanya hatuoni. Sijui ni kwa nini msanii akijikwaa watu wanajifanya kusikitika sana wakati kuna wakulima, wafugaji, wamachinga na kila aina ya makundi wanapitia hayo hayo. NB: sisemi watu wasimjali ila nataka tuwe tu aware kuwa wananchi tunakitakiwa kupigana kumwondoa huyu adui wa taifa letu anayeitwa CCM kama tunataka future nzuri.
 
Hakuna atakaekusaidia kuishi maisha yako zaidi yako. Acha aishi maisha yake mtu akishafikia hatua ya kujiona yupo sawa na wakati hayupo sawa sio jambo jepesi kumtoa huko alipo, unadhani familia yake imempotezea?
Umesema ukweli japo ni mchungu. Dunia na maisha kwa ujumla hayana huruma. Ndiyo, watu kama hawa wakishafika hiyo stage ya uteja wanahitaji msaada kwani wenyewe wanakuwa hawana uwezo wa kujisaidia tena, lakini kiuhalisia kwa maisha ya kitanzania hili ni gumu kutokea. BTW si ni watu wa CCM hawa? Au inawapenda wanapokuwa wazima tu?
 
Chidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.

Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.
Umeongea point. Wanyonyaji katika hiyo sekta ya music ndo wamewafikisha wengi hapo mahala oabaya walipofika, miongoni kwao Tod na q.chief. Vijana walikuwa na vipaji lakini wanyonyaji wakawadhibiyi na kuwakamdamiza na kiwataka wafate SHERIA zao kandamizi na wakiuliza tu wanapotezwa kwenye industry, muziki Yao haipigwi... management za kinyonyaji miongoni kwao marehemu Ruge na Joseph kusaga na kina chief kumbe... Diamond mjanja sana alkwasanukia mapema akatupa huko, ingawa mpaka Sasa sio kwamba yupo salama sana sababu bado wamemganda na wanampa percentage kidogo hapo wasafi...let's wait and see kama atafanikiwa kwenye hiyo seven media
 
Shida ya Chidi habebeki. Mtu kama blue anambeba sana na hujawahi kumtupa ila dk sifuri anaharibu. Kingine u-born town nao unamcost much know, mjanja yeye.
Hana nguvu ila ule ubabe wa Chidi yule Benzino wa miaka Ile ya 1990s mitaa ya Kkoo, ilala bado anauleta kumbe anaharibu
 
Uko sahihi. Na mbaya zaidi tunajifanya hatuoni. Sijui ni kwa nini msanii akijikwaa watu wanajifanya kusikitika sana wakati kuna wakulima, wafugaji, wamachinga na kila aina ya makundi wanapitia hayo hayo. NB: sisemi watu wasimjali ila nataka tuwe tu aware kuwa wananchi tunakitakiwa kupigana kumwondoa huyu adui wa taifa letu anayeitwa CCM kama tunataka future nzuri.
Kwelii kabisaa
 
Umenikumbusha enzi za marehemu Ng'wea..,kuna siku nilimkuta Msasani mwisho kule asubuh hana hata nguo nadhani nae alilewa sana usiku huo,....siku nyingine tena nilikutananae maeneo flani yaani yupo rafu kichizi/kachoka nadhani pia ni madawa yale.

Chaajabu baadhi ya wasanii wenzake na wadau wa muziki walikuwa wanajua hilo..,ila baada ya kufa ndio kila mtu anampa sifa na kutoa msaada na wakati kipindi yupo hai wala hakuwa anapata hizo sifa!! kwa jinsi nilivyokuwa namuona kwa hadhi ya Ng'wea hakustaili ile hali alihitaji msaada zaidi.

Na kwa Chid nadhani ni mpaka afe ndio watu waanze kushtuka japo najua kuna baadhi ya wadau walishataka kumsaidia..,lakini wasanii nadhani ndio wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwny hilo swala la kumsaidia msanii mwenzao.
 
Huyu Chidi juzi kati katoboa Siri kuwa Wasanii wengi ni mashoga (wanalika), unadhani watakuwa nae?
Walimchokoza wakaupload video kwa Mange yupo na Mashoga waandishi kanjanja wakamfuata akawapaka kinyesi wasanii kwamba anawajua wanaovaa pampas

Mimi ninachomshauri Chid akitaka arudi juu kwanza wale masela Mavi wake wa zamani wote awaweke kapuni alafu aishi vingine kabisa hayo makoko ya madawa sijui kufanya nini ni ya mapito tu chidi alikua SIMIGO wa kwenye Lord of the Ring Ila akarudi kawaida sasa hivi anasema anagida sana pombe apunguze hio kipaji anacho uwezo anao vidonda vinapona tu kikubwa Ile kampani yake ya Zamani aachane nayo wale masela Mavi wa kitambo hicho awaache akikomaa nao ndio wanaomuacha akiwa ovyo wakati akiwa vizuri wanamfuata
 
Back
Top Bottom