Hali ya Corona Kenya ni mbaya mbaya mbaya mbaya

Hali ya Corona Kenya ni mbaya mbaya mbaya mbaya

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Sijui hawa watu wamepatwa na nini?

Wameweka lockdown
Wameweka curfew
Wameua waliokiuka
Wamefunga mipaka
Wamefunga anga
Wamefunga shule
Wamechukua mikopo
Wafanya Pima Pima Pima
Wamefunga miji
Wana quarantines
Wanavaa masks
Walisema Tanzania tutakufa kama kumbikumbi

Lakini bado kirusi kinawakung'uta, inasikitisha kwa kweli saivi watu wanadondoka mitaani

EdkqpVKWAAADbzb.jpg

Hali ya Tanzania kwenye media za mabeberu
 
Wakenya wameshindwa hata kuvumbua fake remedies, zero IQ indeed wanawasubiri wazungu wawafanyie majaribio ya dawa zao, dumbest nation ever
 
Sijui hawa watu wamepatwa na nini?

Wameweka lockdown
Wameweka curfew
Wameua waliokiuka
Wamefunga mipaka
Wamefunga anga
Wamefunga shule
Wamechukua mikopo
Wafanya Pima Pima Pima
Wamefunga miji
Wana quarantines
Wanavaa masks
Walisema Tanzania tutakufa kama kumbikumbi

Lakini bado kirusi kinawakung'uta, inasikitisha kwa kweli saivi watu wanadondoka mitaani

View attachment 1514471

Hali ya Tanzania kwenye media za mabeberu
Hahahaha, nimekua nikirudia mara kwa mara kwamba, tatizo la wakenya ni uwezo mdogo wa kufikiria, hakuna jambo lolote ambalo Kanya wanaweza kulitekeleza kwa ufanisi.

Tatizo la wakenya ni "Over rating themselves and overconfidence", hili tatizo linawafanya wasijipe muda wa kufikiria kwa undani na kujua tatizo kwa undani kabla ya kupanga mbinu sahihi ya kukabiliana na tatizo husika, badala yake wanakurupuka.

Jaribuni kufuatilia maamuzi yaliyofanywa na GoK mtagundua hilo, kwa mfano:
1)Green field terminal
2)Kupeleka KDF Somalia
3)Kujenga ukuta kutenganisha Kenya na Somalia
4)SGR
5)Lamu Port
6)Bomba LA mafuta
7)Kusafirisha crude oil kwa barabara
Na mengine mengi, yote haya hayana maslahi kwa Kenya, wangejipa muda na kufikiria kwa undani, wangefikia maamuzi tofauti Karisa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kenya wameandamwa sana na Visanga hata inteligency yao iko low sana kuna saa hata kama tatizo ni nature calamity ila kuliface tu wanazidi kutishana kila uchao huyo CS Kigwe ndo bure kabisa
Yani mpango wa kenya behind huu msala ni wakipuuzi ajabu hao Heath advisers wa Kenyata wafukuzwe kazi haraka sana
 
Hata akifukuzwa kazi, huyo atakayeletwa ni hivyo hivyo au hovyo zaidi ya huyo, kwa ujumla wakenya wengi 98% uwezo wao wa kufikiria ndio upo hivyo, angalia na jaribu kumfuatilia James Macharia, huyo ndio kituko zaidi, huku Tanzania hawezi kupewa hata ukatibu Kata.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sijui hawa watu wamepatwa na nini?

Wameweka lockdown
Wameweka curfew
Wameua waliokiuka
Wamefunga mipaka
Wamefunga anga
Wamefunga shule
Wamechukua mikopo
Wafanya Pima Pima Pima
Wamefunga miji
Wana quarantines
Wanavaa masks
Walisema Tanzania tutakufa kama kumbikumbi

Lakini bado kirusi kinawakung'uta, inasikitisha kwa kweli saivi watu wanadondoka mitaani

View attachment 1514471

Hali ya Tanzania kwenye media za mabeberu
Vyote hivyo walivyofanya wenyewe wanasema ni [emoji522][emoji525][emoji519][emoji534][emoji526][emoji531][emoji529][emoji522][emoji1649][emoji534][emoji524] ya katiba mpya , hahahaha kama ndio hivi TZ hatuhitaji katiba mpya ya zaman inatufaa sana
 
Hata akifukuzwa kazi, huyo atakayeletwa ni hivyo hivyo au hovyo zaidi ya huyo, kwa ujumla wakenya wengi 98% uwezo wao wa kufikiria ndio upo hivyo, angalia na jaribu kumfuatilia James Macharia, huyo ndio kituko zaidi, huku Tanzania hawezi kupewa hata ukatibu Kata.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Uwezo wa kufikiri kuwa mdogo inatokana na kusifiwa na wazungu Kwa mda mrefu sasa imepelekea kudumaa Kwa akili vizazi Kwa vizazi ,unajua kila kukicha unasifiwa unakua ujiongezi kubuni mbinu mpya kwahiyo inakuja Ile hali ya kujikubali akilini hili ndio janga la kisaikolojia iliowaharibu wakenya na ndio maana unaona hakuna mwenye nafuu kwasababu sifa za wazungu walilewa woote.
 
Vile vikao vyao walivyo kuwa wanazifanya huku wakikejeli Tanzania vimesaidia nini so far au vilikuwa vya kushahuriana kukopa!

Hongera JPM kwa kupuuza vile vikao vyao na kukataa kupokea simu zao.
Ha ha ha Magufuri kama Morrison, unawagomea wenzio kupokea simu
 
Hili sio la kufurahia au kushangilia matatizo yanaweza mfika yeyote popote bila kujali. Poleni majirani.
 
Hahahaha, nimekua nikirudia mara kwa mara kwamba, tatizo la wakenya ni uwezo mdogo wa kufikiria, hakuna jambo lolote ambalo Kanya wanaweza kulitekeleza kwa ufanisi.

Tatizo la wakenya ni "Over rating themselves and overconfidence", hili tatizo linawafanya wasijipe muda wa kufikiria kwa undani na kujua tatizo kwa undani kabla ya kupanga mbinu sahihi ya kukabiliana na tatizo husika, badala yake wanakurupuka.

Jaribuni kufuatilia maamuzi yaliyofanywa na GoK mtagundua hilo, kwa mfano:
1)Green field terminal
2)Kupeleka KDF Somalia
3)Kujenga ukuta kutenganisha Kenya na Somalia
4)SGR
5)Lamu Port
6)Bomba LA mafuta
7)Kusafirisha crude oil kwa barabara
Na mengine mengi, yote haya hayana maslahi kwa Kenya, wangejipa muda na kufikiria kwa undani, wangefikia maamuzi tofauti Karisa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa si wanajua kizungu sana!?
Mbona mambo hayaendi?maana kwao kujua kizungu ndio elimu,richa ya kwamba bado wanachalazwa bakora na mchina asiyejua kizungu
 
Bila vipimo hali ya Tanzania inajulikana ? Ni upuuzi kutangaza covid19 imeisha Tanzania bila vipimo.
 
ni vibaya kukejeli wenzetu, hili ni janga
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Kumbuka walivyouwa wenzao, kumbuka walivyo tesa watanzania, kumbuka walivyo haribu biashara zetu, kumbuka namna walivyo dai hongo ya ksh 2,000 ili kuwaruhusu watanzania kuvuka mipaka, kumbuka walivyotutabiria kiwa tutakufa kama nzige na tena wata tufanyia lock out.

Yako wapi sasa?
 
Back
Top Bottom