LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,138
- 1,639
Kama heading inavyojieleza, kuna sintofahamu kubwa kati ya nchi hizi jirani yaani Burundi na Rwanda ambapo majuzi baada ya Kagame kushuhudia mazoezi ya kijeshi huku askari wake wakijaribu mizinga mipya alitoa hotuba iliyo m criticise Nkurunziza baada ya wiki 2 lilitokea tukio la uvamizi katika msitu wa Nyungwe\Nyaruguru ambapo watu wanaosemekana kutoka Burundi walivamia wakachoma magari 3 ambapo mashuhuda waliohojiwa wanasema wavamizi walikuwa wanaongea Kirundi lakini waandishi wa nje hawakuruhusiwa kuhoji wanchi kuhusu tukio hilo.
Kwa mjibu wa msemaji wa Jeshi la RDF alikiri kuwa walibahatika kuua wavamizi 3 wengine wapatao 30 walitimkia Burndi hivyo msemaji huyo alisisitiza kua watajibu dhidi ya uvamizi huo na kwaupande wa pili wa Burundi juzi katiks mdaharo uliojumuisha wandishi wa habari na mawazari akiwemo wazir mambo ya ndani msemaji wa rais ,msemaji wizara ya ulinzi na usalama wa nchi ,mwandishi 1 aliuliza halo ya usalama ktk mpka na Rwanda na uchokozi ikiwa ni pamoja na kuteka wavuvi wa Kirundi swali hilo lilijibiwa na msemàji wa waziri usalama aliwatoa hofu wanachi wa Burundi kwakusema mipaka na jiran yao huyo imelindwa na aliongeza kwa kusema tunasafisha siraha zetu kila saa na tuko imara.
Swali langu je mikataba ya jumuia EAC inazunguza nini endapo wanachama watatwangana ? Welcome all
By: JF lover