Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Believe or not, Rwanda has more enemies within than outside!
In addition Kagame haelewani na Uganda kwa sababu M7 anaunga mkono wapinzani wa PK including Gen Kayumba Nyamwasa. Sasa PK kuwa kwenye mgogoro na Nkurunziza ni kujiongezea matatizo.
Kwa sasa Burundi wanapata misaada ya kiuchumi na ulinzi kutoka SA, China, Russia, Libya & Misri. Pia yeyote akubali au asikubali, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Burundi kuliko Rwanda.
PK anatiwa jeuri na US, Israel, UK, Canada, Australia pamoja na baadhi ya nchi za umoja wa ulaya.
Kiongozi , umeandika ukweli ambao wanaujua wachache.
 
hii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza dhana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi
Marwa_J
Ndgu hapo umeangalia faida ndogo kwenye hasara,kumbuka madhara ya mazingira na hawa ndgu zetu mipakani msoto wa ujambazi , hebu fafanua basi.
 
Marwa_J
Ndgu hapo umeangalia faida ndogo kwenye hasara,kumbuka madhara ya mazingira na hawa ndgu zetu mipakani msoto wa ujambazi , hebu fafanua basi.
majambazi ni watoto wadogo sana kuweza kumvamia kila mtu niamini mimi faida za hao vichaa kutwangana ni kubwa sana kwetu kuliko hasara harafu mazingira hayawezi kuharibika sana kama yanavyoharibiwa na viwanda huko China kwahiyo wewe kaa standby ukisikia kagame kalianzisha wahi rusumo na kabanga fasta kwaajili ya zoezi la kuchota pesa za burebure
 
majambazi ni watoto wadogo sana kuweza kumvamia kila mtu niamini mimi faida za hao vichaa kutwangana ni kubwa sana kwetu kuliko hasara harafu mazingira hayawezi kuharibika sana kama yanavyoharibiwa na viwanda huko China kwahiyo wewe kaa standby ukisikia kagame kalianzisha wahi rusumo na kabanga fasta kwaajili ya ziezi la kuchota pesa za burebure
😀😀😀😀
 
Hawa ilitakiwa wasiruhusiwe kujiunga na EAC kwani haitatokea kuelewana mpaka watwangane. Angalizo hapa ni kwamba kagame ana maadui wengi wa nje na ndani kuliko piere.
 
Naigonja kwa hamu saana hii vita

uchumi wa rwanda na burundi ni sawa ila rwanda wanajenga kigali burundi wenyewe wanajenga nchi nzima

rwanda anaeonekana bora mizinga yake mipya ni BM-21 ambayo kwa tanzania ilikuwepo toka miaka ya 70 mizinga ya burundi ni BM-45 ni bora zaidi kuliko ya slim

wote airforce zao ni hovyo bt rwanda anakaunafuu kidogo

Burundi wana ant tank nzuri zaidi kuliko rwanda lkn rwanda wana vifaru vzr zaidi ya burundi

uhusiano wa jw na burundi upo kama baba na mwana nakumbuka 2014 burundi waliingiza jet zao ziliingia kilometa nyingi kwenye anga la tz lkn hazikutunguliwa japo zilizua taharuki kias chake

vita hii inaweza kugeuka nakuwa ya ukabila na kama itatokea hivyo kuna jamii itakiona cha moto coz ukimuona tu unamjua wala hauangaiki kumtafuta

ili hii vita ipigane lzm FAZA wa ukanda huu atoe ruksa kwa pande zote mbili coz yeye ndio mwenye uwezo wa kuamua mshindi

kazi ni kwao
 
hii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza zana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi
Unasahau ujambazi, uharibifu wa mazingira na masuala ya uraia na usalama wa taifa letu. Amani kwenye hizi nchi mbili ni muhimu sana kwa Tanzania kwa kifupi tunakimbia majukumu yetu.
 
Ningekuwa na power ningeziunganisha Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania iwe for conquest, negotiations & agreements, union, or any means. Hii itasaidia kuziondoa hizo nchi kwenye primitive conflicts & expanding territorial Dominions for economic and strategic purposes.
Generally speaking; the intervention will focuses on stabilizing & harmonizing situation, and those countries they shall benefit from trade interm of privileges and interests based on Indian ocean keyboard.
 
Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Ila jua kwamba kabila zilizoko burundi ndizo zilizoko rwanda, na elewa kwamba nia ya PK ni kwamba kabila lake litawale pia Burundi, na Nkurunzinza alishasoma hizo nyakati muda mrefu sana, sasa elewa kwamba kabila la Kagame nchini kwake ni 20% tu kama sikosei, na usidanganyike kwamba wanyarwanda wengi wanapenda utawala ule, kuna ma maater mind wengi walikimbilia uhamishoni na ni matajir kukwepa kifo cha kagame,,kwenye majela wamejaa wahutu, serikalini kwenye nyathifa kubwa zoote ni watusi tupu, kwa hio elewa kwamba burundi ana support kubwa nchini kwake na ndani ya rwanda, upande wa 2, taifa kama Tanzania tutakua njia panda manake hata kama jiwe ni best friend wa PK lakin kihistoria Burundi ni mwana wa Tanzania, kuanzia hata viongozi wake woote wametokea hapa, tatu manirani woote wanaomzunguka PK urafik ni wa mashaka, mseven mwenyewe wanachoko choko, kenya haziivi kabisa...kwa hio hii game PK anatakiwa acheze kwa akili sana walioshika bendera yake nje ya uwanja ni wengi ila mioyoni ni mashabik wa burundi
 
Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )
Ubora wa Ethiopia hata haukuonekana kabisa Burns vs Rwnd kila 1 ana marafiki na mbaya mimi naonaona kagame ana maadui wengi kwasababu ya uchokozi wake MF:Uganda , DRC n.k
Hiyo Vita watapigana kikabila kutoka Chigali mpaka Bujumbura, PK hawezi kuruhusu uwazi huo kuruhusu apigane Vita ya wazi na Burundi anajua atakuwa ana maadui wawili kutoka nyumbni kwake na hao wa Burundi.
 
Hiyo Vita watapigana kikabila kutoka Chigali mpaka Bujumbura, PK hawezi kuruhusu uwazi huo kuruhusu apigane Vita ya wazi na Burundi anajua atakuwa ana maadui wawili kutoka nyumbni kwake na hao wa Burundi.
kwani akiwapiga kisiri siri warundi watakaa tu wakimuangalia?

pk akianzisha vita na burundi atajikuta akitwangana kwanza na raia wake
 
EAC ni jumuiya ya ujirani mwema tu, haina nguvu yoyote wala hakuna wa kumnyooshea mwingine kidole wanafanana.
 
hii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza zana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi
ahahhaah aisee.
 
Back
Top Bottom