Believe or not, Rwanda has more enemies within than outside!
In addition Kagame haelewani na Uganda kwa sababu M7 anaunga mkono wapinzani wa PK including Gen Kayumba Nyamwasa. Sasa PK kuwa kwenye mgogoro na Nkurunziza ni kujiongezea matatizo.
Kwa sasa Burundi wanapata misaada ya kiuchumi na ulinzi kutoka SA, China, Russia, Libya & Misri. Pia yeyote akubali au asikubali, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Burundi kuliko Rwanda.
PK anatiwa jeuri na US, Israel, UK, Canada, Australia pamoja na baadhi ya nchi za umoja wa ulaya.