Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Burundi?

Hahah nchi haina wajeshi hio ila ina ka-kundi ka wahuni wahuni wenye silaha tu.
Rwanda wahutu wanatawaliwa kwa msumali wa moto huku wakiwa 80% YA raia wa rwanda, upande wa Burundi wahutu ni ,86% ya raia wote na ndio wa tawara , pia usisahau FDRL kule DRC zaidi Burundi ana jeshi kubwa zaidi ya slim ukitaka ingia YouTube angalia nchi hizo 2 kijeshi kisha leta jibu hapa JF.
 
We jamaa kwenye hayo masuala hunidanganyi kitu endelea kuwapiga kanyaboya wenzako.Ila ngoja nianze kukuchana kidogo:

*Unaongelea Burundi gani hio yenye jeshi imara?hii hii ambayo Nkuru alipinduliwa majuzi tu hapa mpk JW ikamrudisha?

*FDLR?wale wahuni wanaoishi huko Congo na kubaka wanawake huku biashara yao ni kuuza mkaa?

*Burundi hata ikiachiwa wale wahuni wa M23 kwa sasa wamesambaa (Sudan wakimsaidia Salva Kiiri,wako jamhuri ya kati,na Congo) wanampindua Nkuru ndani ya siku chache tu.

*Kuna mdau amesema Burundi ina RPG 10 nchi nzima,hahah nimecheka sana aisee sasa RPG launcher inacost $2200 na grenade yake $700,so Burundi nzima RPG zake total costs ni $29,000 only hahah,maajabu sana haya.

*Umesema niende youtube kuangalia hizo mambo za jeshi sio?Burundi Military expenditure kwa mwaka 2017 ni $56.30milwkt Rwanda Military expenditure kwa mwaka 2017 ni $114mil,Hahah mkuu leta point strong bana.

*Unaongelea Burundi yenye Fdi ya $300,00 only wkt mwenzake ana FDI ya $336mil, huo uwezo wa kuendesha jeshi kisasa wkt nchi hata fedha tu haina itatoa wapi?

*Nikikuleta kwenye hayo ma S-200 huko sijui hata kama utanielewa anyway ngoja tuendelee kupiga gahawa kidogo.
 
Jamaa yangu hapa tunapeana elimu kiroho safi ,lakini kubali kataa hizi nchi siyo hata hizo S-200 ambazo zitafanya chochote ktk vita baina yao kubwa na baya ni ukabila uliopo mr slim anataka mataifa haya 2 ystawaliwe na watutsi huku wahutu nao wanatamani watawale Rwanda na Burundi kwakua wao ni wengi na mpaka hiv tunaongea kuna uasi kusini mwa rwand ktk misitu ya Nyungwe \Nyaruguru kuna wapiganaji wa FLN na FDRL walioungana na msemaji wao Kallixite Sankara,pia kumbuka kagame hana uhusiano na jirani zake wew pia utakua unalijua ,hiyo vita anamshindaje Nkuru?
 
mzee baba upo sawa lkn rwanda hakuna UASI wowote uko nyungwe lkn naona kama wakipigana pk atakuwa ana hali ngumu zaidi
 
Jamaa yangu hapa tunapeana elimu kiroho safi ,lakini kubali kataa hizi nchi siyo hata hizo S-200 ambazo zitafanya chochote ktk vita baina yao kubwa na baya ni ukabila uliopo mr slim anataka mataifa haya 2 ystawaliwe na watutsi huku wahutu nao wanatamani watawale Rwanda na Burundi kwakua wao ni wengi na mpaka hiv tunaongea kuna uasi kusini mwa rwand ktk misitu ya Nyungwe \Nyaruguru kuna wapiganaji wa FLN na FDRL walioungana na msemaji wao Kallixite Sankara,pia kumbuka kagame hana uhusiano na jirani zake wew pia utakua unalijua ,hiyo vita anamshindaje Nkuru?
Hahah daah jamaa angu unaandika vitu vya kufikirika balaa.

Huyo Kalixte Sankara ulishamuona?ni jamaa flani brazamen hivi anajipaka mapoda tu na mamiwani yake makubwa kama ya wasanii eti ndio msemaji wa waasi?hahah u must be joking bro.

Huo uongo wa kwamba kuna uasi unaendelea huko misitu ya nyungwe wenzako walileta thread muda tu na wakasema Waasi wanakaribia kuikamata Kigali nikawaambia nawapa miaka mingi sana kama watakua wameikamata hio Kigali.Kilichofurahisha zaidi wkt zinasambazwa taatifa za hao waasi huko msituni PK wala hakuwepo Rwanda alikuwepo zake Ulaya huko anasaini mikataba wala hana habari.

Cheki hio thread Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda - JamiiForums
pia nakupa challenge unatoa muda gani hao waasi watakamata nchi?

PK possibly anazingua lkn propaganda hazitasaidia kitu watu wajipange kijeshi barabara kumtwanga lkn sio porojo tupu.
 
Jamaa yangu hapa tunapeana elimu kiroho safi ,lakini kubali kataa hizi nchi siyo hata hizo S-200 ambazo zitafanya chochote ktk vita baina yao kubwa na baya ni ukabila uliopo mr slim anataka mataifa haya 2 ystawaliwe na watutsi huku wahutu nao wanatamani watawale Rwanda na Burundi kwakua wao ni wengi na mpaka hiv tunaongea kuna uasi kusini mwa rwand ktk misitu ya Nyungwe \Nyaruguru kuna wapiganaji wa FLN na FDRL walioungana na msemaji wao Kallixite Sankara,pia kumbuka kagame hana uhusiano na jirani zake wew pia utakua unalijua ,hiyo vita anamshindaje Nkuru?
By the way Nkurunziza hajaingia madarakani kwa mtutu hata kuikaribia Bujumbura hakufanikiwa ila makubaliano ya Arusha ndio yalimwingiza madarakani.

Kagame na RPF yake wamepigana vita vifuatavyo.
1.Wameingia madarakani kwa mtutu.

2.Walimchapa Mobutu na kumsimika Kabila Snr madarakani.

3.Uganda alichapwa huko Kisangani.

4.Kwny 2nd African war walipigana na vikosi vya combination ya(Zimbabwe,Angola,Namibia) kwa ufanisi sana.

Je,Burundi ya Nkurunziza yenyewe imepigana vita na nani?Zaidi ya kuishia kuchinjana ndani ya nchi Watusi kwa wahutu.
 
Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Kosa lilifanywa na UNO baada ya vita ya kwanza. Rwanda na Burundi zilikuwa Germany East Africa. Walipo wapa Burundi na Rwanda uangalizi wa wa Bergig ndo shida ilipoanza.
 
Mbaya zaidi hao drc uganda na hiyo burundi majeshi yao ni wazoefu kwenye vita uganda wanajeshi wao wanajulikana wazoefu kwenye vita Drc wamepata uzoefu nyumbani kwao na hawaipendi Rwanda kwasababu kila mara inawavuruga burundi nao wako kwenye uzoefu wa kurinda amani hata somaria wapo angalia Rwanda ananinj sasa na mbaya zaidi woote wamemzunguka Rwanda
Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )
Ubora wa Ethiopia hata haukuonekana kabisa Burns vs Rwnd kila 1 ana marafiki na mbaya mimi naonaona kagame ana maadui wengi kwasababu ya uchokozi wake MF:Uganda , DRC n.k
 
Kwa msiojua rwanda na uganda hata wawe na uhasama kiasi gani ila ikitokea mmoja wao akavamiwa na adui basi wote wawili huungana kumkabili huyo adui, refer yale mapigano dhidi ya majeshi ya angola kwenye ardhi ya kongo, kipindi kile uhusiano wa rwanda na uganda ulikua umeteteleka sana ila alipotokea adui mpya waliungana na kumpiga, kagame aliwahi kuwa chief of intelligence wa jeshi la uganda, maisha yake yote ya mwanzo aliishi uganda hata wakati rpf inaenda kuvamia rwanda ilitokea uganda, ni wasioelewa tu ndio watasema uganda anaweza kumuunga mkono adui wa rwanda.
Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )
Ubora wa Ethiopia hata haukuonekana kabisa Burns vs Rwnd kila 1 ana marafiki na mbaya mimi naonaona kagame ana maadui wengi kwasababu ya uchokozi wake MF:Uganda , DRC n.k
 
Nkurunziza bila tanzania angeshaondoka pale kitambo yeye mwenyewe hana uwezo wa kujihakikishia kubaki madarakani, kwa hali ya jeshi lake na mazingira ya uchumi hawezi kupambana na rwanda, marafiki wa rwanda ni waaminifu kwake na hawaoni shida kujitokeza muda wowote hata huyo museveni mnayedai ni adui wa kagame hamtaamni mtakapoona akiunga mkono rwanda.
Believe or not, Rwanda has more enemies within than outside!
In addition Kagame haelewani na Uganda kwa sababu M7 anaunga mkono wapinzani wa PK including Gen Kayumba Nyamwasa. Sasa PK kuwa kwenye mgogoro na Nkurunziza ni kujiongezea matatizo.
Kwa sasa Burundi wanapata misaada ya kiuchumi na ulinzi kutoka SA, China, Russia, Libya & Misri. Pia yeyote akubali au asikubali, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Burundi kuliko Rwanda.
PK anatiwa jeuri na US, Israel, UK, Canada, Australia pamoja na baadhi ya nchi za umoja wa ulaya.
 
Ningekuwa na power ningeziunganisha Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania iwe for conquest, negotiations & agreements, union, or any means. Hii itasaidia kuziondoa hizo nchi kwenye primitive conflicts & expanding territorial Dominions for economic and strategic purposes.
Generally speaking; the intervention will focuses on stabilizing & harmonizing situation, and those countries they shall benefit from trade interm of privileges and interests based on Indian ocean keyboard.
Huwajui wahutu na watusi mkuu..
Hata kama ungeweka sheria muhutu amuoe mtusi kwa lazima. Hawa jamaa wangeuana vitandani wakiwa mume na mke..
 
Nkurunziza bila tanzania angeshaondoka pale kitambo yeye mwenyewe hana uwezo wa kujihakikishia kubaki madarakani, kwa hali ya jeshi lake na mazingira ya uchumi hawezi kupambana na rwanda, marafiki wa rwanda ni waaminifu kwake na hawaoni shida kujitokeza muda wowote hata huyo museveni mnayedai ni adui wa kagame hamtaamni mtakapoona akiunga mkono rwanda.
War strategy kwasasa ni kuangalia adui na namna ya kumkabili. M7 once Uganda patriot,Sasa anampigia Salute mwanafunzi wake PK.
Why?corruption
Unapoanza kuhonga vyeo kwa mke,mwanao,binamu,shemeji thats the end of your rule.
 
Hili sikubaliani nalo. Burundi wakiweka uzalendo mbele kupigania nchi yao, jeshi la Burundi pamoja na Waasi wa Nterahamwe (kama sijakosea) walioko mapori ya Congo ni wazoefu wa ambushi/vita kuliko unavyodhani. Hakuna jinsi Kigali itapona.
Juzi kati kuna waasi wanajiita wachunguzi walipiga wanajeshi wa kagame na kuuwa 14 na 60 kuumizwa vibaya sana, kifupi walichoma kambi nzima ya RDF huko maeneo ya kisenyi. Sasa pata picha.
 
Burundi?

Hahah nchi haina wajeshi hio ila ina ka-kundi ka wahuni wahuni wenye silaha tu.
Sasa mwambie PK aka
Nkurunziza bila tanzania angeshaondoka pale kitambo yeye mwenyewe hana uwezo wa kujihakikishia kubaki madarakani, kwa hali ya jeshi lake na mazingira ya uchumi hawezi kupambana na rwanda, marafiki wa rwanda ni waaminifu kwake na hawaoni shida kujitokeza muda wowote hata huyo museveni mnayedai ni adui wa kagame hamtaamni mtakapoona akiunga mkono rwanda.
Mimi bado nasubiri kuona kwa macho. Kagame atie tu mguu ndani ya Burundi then tuone mbabe ni nani!
 
Juzi kati kuna waasi wanajiita wachunguzi walipiga wanajeshi wa kagame na kuuwa 14 na 60 kuumizwa vibaya sana, kifupi walichoma kambi nzima ya RDF huko maeneo ya kisenyi. Sasa pata picha.
Hizi taarifa ni za kweli ila walijitahidi sana kuzificha!
Ndiyo maana huko juu nimeandika 'PK ana maadui wengi ndani ya nchi yake kuliko walioko nje'!
 
War strategy kwasasa ni kuangalia adui na namna ya kumkabili. M7 once Uganda patriot,Sasa anampigia Salute mwanafunzi wake PK.
Why?corruption
Unapoanza kuhonga vyeo kwa mke,mwanao,binamu,shemeji thats the end of your rule.
M7 anampigia salute PK? Acha utani wako
 
Back
Top Bottom